nyakatende nyumbani
Member
- Dec 9, 2014
- 65
- 15
Uwe Dsm nitumie namba yako na mahali ulipo masomo ya sayansi 15 na masomo ya arts 15, ujasiriamali kwa vitendo zaidi kama kutengeneza sabuni mazulia batiki kupamba nk hawa wawe 4.
Ukinitumia utume unaweza fundisha somo gani majina kamili na uko Dsm sehemu gani kuna kitu nataka kufanya kama kikienda sawa basi tutafanya kazi.
Wawe graduate walimu na wasio walimu hasahasa wasio walimu hilo jambo likiwezekana nitawajulisha wote niliwachukua asanteni tuma 0787 42 91 04