nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,379
- 3,152
Iwe biashara, kilimo, ufugaji, uvuvi nk. Lakini hakikisha unakua na uvimilivu wa kutosha lakini utakua upo katika nafasi kubwa ya kupata utajiri.
Kwa kilimo cha bongo na huna mtaji wa kutosha unatafuta kifo cha ibada ya kwanzaIwe biashara, kilimo, ufugaji, uvuvi nk. Lakini hakikisha unakua na uvimilivu wa kutosha lakini utakua upo katika nafasi kubwa ya kupata utajiri.