Mbona ni kama bado unalo mkuukupata weweseko
Sasa hivi limepungua sanaMbona ni kama bado unalo mkuu
Uachane na mtu then uweweseke?
Keep it up mkuuSasa hivi limepungua sana
Weka namba mkuuHabari ya mchana
Kuna jamaa amenisaidia sana kwa ushauri uliobadilisha maisha yangu baada ya kutengana na mke wangu miaka kadhaa iliyopita na kupata weweseko kidogo. Nimeona nishee maelezo haya ili kama Kuna mtu anayepitia mateso ya kisaikolojia basi aweze PATA nafuu. Sina maslahi na huyu mtu ni kwamba tu nilikuwa napitia kipindi kigunu na alanisaidia. Bae yake ni sh 10000 ukikaa nae kwa saa Ni pm nikutumie namba yake. Asanteni
Hujakutwa na jambo mkuu..😂😂Yaani nimlipe ili nimweleze shida zangu Kisha anishauri?
Sasa Ile Pesa nayompatia si pia itaniongezea maumivu moyoni?
Yamenikuta mengi mkuu wangu.Hujakutwa na jambo mkuu..😂😂
Ahahahah..basi we mkongwe mwenzangu umefuzu. Tofauti na hawa wadogo zetu siku hizi walain laini sasa inabid uende nao kwa upendo.Yamenikuta mengi mkuu wangu.
Hapa kwenye kulipa Pesa ili nishauriwe, nawaza ni ushauri gani atanipa ambao siujui?
Sio wewe mwenyewe kweli😉😉Habari ya mchana
Kuna jamaa amenisaidia sana kwa ushauri uliobadilisha maisha yangu baada ya kutengana na mke wangu miaka kadhaa iliyopita na kupata weweseko kidogo. Nimeona nishee maelezo haya ili kama Kuna mtu anayepitia mateso ya kisaikolojia basi aweze PATA nafuu. Sina maslahi na huyu mtu ni kwamba tu nilikuwa napitia kipindi kigunu na alanisaidia. Bae yake ni sh 10000 ukikaa nae kwa saa Ni pm nikutumie namba yake. Asanteni
Msamehe, yaweza ndio ikawa mara yake ya kwanza kutaka kuta.....Sina maslahi na huyu mtu ni kwamba tu nilikuwa napitia kipindi kigunu na alanisaidia. Bae yake ni sh 10000 ukikaa nae kwa saa Ni pm nikutumie namba yake. Asanteni,,##HapaNdioUlipoKosea##
Bae❌
Bei☑️,,
Kigunu❌
Kigumu☑️,,,Alanisaidia❌
Alinisaidia☑️,,Una Maweweseko Hadi Kuandika Inaonekana Hujazoea Mambo Ya Utapeli.
Mfumo wa maisha na wa kiuchumi soko huria unaweka preshà kubwa kwenye maisha ya watz ndio maana vichwa vya watz vimebeba misongo mingi hasa inayohusiana na pesa na mahusiano. Watz hawana amani ya moyoniKwa dunia ya sasa badala ya kwenda VETA, bora usome saikolojia, maana client ni wengi