Nilimaanisha hivo nadhani ni typing error mkuu. Ila najua jamaaa alinielewaSema tukiwa hai tutaonana 2025.
Samahani mkuu.
Emu acha hzo kaka miaka miwili ata mua uvuni itakuwa miti?Inategemeana na rutuba ya shamba na shamba lipo eneo gani kama pametulia hakuna upepo hata miaka 2 unavuna
Safi sana mkuu, Mwaka 2003 nilikuwa na ndoto za kwenda kusoma Uingereza sikuwa na kipato chochote nilitegemea nguvu ya ndugu wazazi wangu hawakuwa na uwezo, 2004 nikaja Dar kukaa kwa kaka yangu kwa ahadi kuwa atanisaidia kutimiza ndoto zangu haikuwa kweli niligeuka mlinzi wa nyumba na mfanyakazi wa miradi yake chini ya maisha ya hulka ngumu za Shemeji.Wakati nipo kidato cha nne miaka kadhaa iliyopita nilimwambia mamangu nataka kwenda iringa kwa babu nikamwone ila naomba hela nimchukulie zawadi. Mamangu alisema nitakupa hela ukampe baba inatosha nikamwambia nataka nikampe zawadi mimi kama mimi. Nakumbuka mamangu kwa kuwa familia yetu ilikuwa ahueni alinipa hela nikamnunulia babu viwalo vya maana sana na nilifanya hivyo lengo kuu ni kuomba anipe shamba.
Nilipofika kwa babu nilitoa zawadi zangu na dagaa kama kilo 2 hivi na babu alinogewa sana na mjukuu wake wa kwanza kumuonyesha upendo ule. Babu aliniambia mjukuu wangu naona umekua naomba tuzunguke kwenye miliki zangu za ardhi nikuonyeshe mipaka nikasema haina shida babu, tulizunguka sana karibia masaa 4 maana alikuwa anamiliki mashamba/ mapori zaidi ya eka 500. Mwishoni mwa mizunguko nikaomba shamba akasema unataka kiasi gani nikasema hata eka 25 au 50 zinatosha babu.
Baada ya kuomba alisema nakupa kadri ulivyoomba na ntawambia wajomba zako na mama zako ili baadae wasikusumbue kama ntakufa karibuni. Akanionyesha mwisho wa shamba langu na kuanzia hapo kila likizo nilirudi iringa kuchimba mashimo ya miti na kupanda miti ya mbao na ikumbukwe sikuwashirikisha wazazi hivyo nilitumia mikono yangu na niliombea niwe na afya njema na hakika Mungu akabariki mwili, roho na nafsi vikawa katika usalama.
Hadi sasa namiliki shamba la miti zaidi ya eka 20 na nilianza kupanda mwaka 2009 na sijawahi kutumia kibarua yoyote labda kwa sasa kwa vile nafanya kazi serikalini.
Vijana tuna mda mwingi sana na nyumbani ardhi zipo ila hatujashituka na mda unaenda. TURUDI NYUMBANI YAJAYO YATAFURAHISHA
Tanzania kuna fulsa nyingi sana mkuu ila tunashindwa kutumia na tukiamua tunaweza
i have found the solution
Kuna tatizo kubwa nchi hii. Kuna jamaa kalima heka 100 za zao la mahindi kwa kutumia vifaa vya kisasa na aliwezeshwa na benki. Baada ya kuvuna ikawa kuna zuio la kuuza nafaka nje ya nchi. Bei ya mahindi ilishuka sana na akauza kwa hasara na hakuweza kurudisha pesa ya mtaji. Sasa hivi analia na deni. The foundation of this counry was not right. Kuna tatizizo mahali fulani na bahati mbaya sana wanaotuongoza miaka yote hiyo ni hao hao na ni ngumu wao kubadilika ndiyo maana wanakomaa na wapinzani bila sababu yoyote.
Unfortunately kuna watu nilisoma nao shule na kwa ajili ya nepotism na god father wakawa makatibu wakuu wa wizara fulani katika awamu zilizopita.. Kwa vile nilikuwa ninawafahamu kwamba walikuwa hawana uwezo hata wa kuwa wakuu wa wilaya nikasema kweli nchi yeu iko upside down. Mtu kama yule utampaje cheo kikubwa kama vile. I don't know when we shall move forward. Try to examinie leadership of this country since independence, there is nothing to celebrate. I was employed in goverment baada ya shule na wizi niliououkuta huko ukifanyika daylight bila hofu ulikuwa unatisha. Dhamiri yangu haikuniruhusu na nilijiondoa mwenyewe na kuondokai serikalini. Kitengo nilichokuwepo kilikuwa kinapokea pesa ya wafadhili lakini zilikuwa zinaliwa sana kwa njia ya ulaghai tu ndiyo maana hakuna maendeleo yanayotokana sana na misaada. Labda zile wanazokuja kusimamia wenyewe.
Ubishi huu ungekuwa unafanyika shambani lingekuwa jambo jema sana, mfano umeshapanda huo mti halafu unabishana na aliyekupa hilo wazo,Emu acha hzo kaka miaka miwili ata mua uvuni itakuwa miti?
Tusibishane ila hakuna mti unaweza ukapanda ukavuna ndani ya miaka miwil full stop. Labda kama unavuna fito.Ubishi huu ungekuwa unafanyika shambani lingekuwa jambo jema sana, mfano umeshapanda huo mti halafu unabishana na aliyekupa hilo wazo,
Tusibishane ila hakuna mti unaweza ukapanda ukavuna ndani ya miaka miwil full stop. Labda kama unavuna fito.
Shukrani Sana mkuuc&p
*BAADA YA MIAKA 20 MTAKUJA TANZANIA KUOMBA KAZI*
Nilipokuwa mwanafunzi nchini Poland miaka ya 90, tulikuwa na tabia ya kwenda Sweden wakati wa likizo na kufanya vibarua mbalimbali hasa kwenye mashamba ya wakulima. Watanzania kutoka nchi mbalimbali za Ulaya Mashariki tulikuwa na sehemu zetu tulikokuwa tunakutana na kufanya vibarua hivyo kwa malipo ambayo kwa mwenyeji yalikuwa madogo sana lakini kwa sisi toka Ulaya ya Mashariki ya wakati huo yalikuwa makubwa sana. Tukirudi Poland na hizo nchi zingine na dola zetu, basi tunaanza kuishi kama watoto wa mfalme wa Nsesi. Pombe kwa wingi, watoto wa kizungu, na sherehe kila weekend.
Hao wakulima wa Sweden walikuwa watu wa kawaida wenye elimu za chini lakini wakiwa matajiri wenye mashamba makubwa makubwa na machine kubwa kubwa. Sisi vibarua wao tulikuwa na elimu kubwa kubwa, wanafunzi wa Ph.D, Masters, Degrees. Tulikuwa engineers, madaktari, wanasheria, wachumi nk.
Siku mmoja boss wetu huyo mkulima akawa anapiga story na sisi na kuanza kumwuliza kila mmoja anasomea nini. Tukamwambia maelimu yetu makubwa makubwa. Tulipomaliza akasema yeye elimu yake ni ya msingi ambayo ilikuwa kama form four ya Tanzania lakini ana mashamba na anaweza kutuajiri sisi Wasomi. Akaendelea kusema amefika Tanzania mara nyingi na ni nchi nzuri sana na hali ya hewa nzuri kwa kilimo na uwekezaji mwingine. Anashangaa kwanini ni maskini hivyo mpaka wasomi wake tunakuja kufanya vibarua mashambani ili kujiongezea kipato? Akasema Sweden peke yake imeisaidia mno Tanzania lakini haoni tukisogea mbele.
Alichomalizia ndio kimenifanya niandike leo. Akasema tukibadilishana watu leo. Waswedish wote wakaenda Tanzania na mikono yao mitupu na Watanzania wote wakaja Sweden na mikono yao mitupu. Baada ya miaka 20 Tanzania itakuwa nchi tajiri na Sweden itafilisika na kuwa nchi maskini na mtaanza kurudi Tanzania kuomba vibarua.
Ukweli mwingine unauma lakini hubaki kuwa ukweli. Ni miaka karibu 25 toka tuambiwe hayo na bado Sweden ni nchi tajiri na Tanzania ni nchi maskini. Zile elimu zetu kubwa kubwa hazijatusaidia kitu. Naendelea kutafakari. Yule Mzungu ni kama alikuwa sahihi.
Tunakosea wapi watanzania na nani atakuja kutwambia kuwa sio kila kitu uwe na mtaji bali kama ardhi ipo basi fulsa ya kwako wewe ni kuwa na afya njema. Jifunze kuumia ili baadae uje uwaajili wasomi na wakuite bosi.
Bado nawakumbusha vijana rudini vijijini mkatumie ardhi ya familia ipasavyo na ukipata nafasi nunua pia ardhi itakusaidia. Limeni kila aina ya mazao yaani mazao ya mda mrefu miti nk na mazao ya mda mfupi mbogamboga na matunda.
KAMA UNATAKA MALI UTAIPATA SHAMBANI
Mm nafikili ulimaji wa miti ni wazo bora kabisa ukilinganisha na mazao mengine ambayo ukivuna ukakosa soko basi yanaishia kuoza, miti unaweza vuna pale utakapokuwa na wakika wa mteja, pia mazao ya misitu uwa ayashuki bei. Mm pamoja na umasikini wetu baba yangu aliacha eneo kubwa sana ambalo lilikuwa sio kitu kiasi kwamba ata wale wanaogombania mirathi awakujishughulisha nalo ilikuwa 2003 wakati mzee anatutoka na mm nilikuwa darasa la saba. Nimesoma nimemaliza chuo 2010 nikakuta eneo bado lipo wazi ni vichaka vichaka tu, nililudi kutoka chuo na saving yangu ya boom kama 1,300,000/= nikawaza nikawazua hii pesa itanisaidia nini? Nikaona bora nianzishe shamba la miti aina ya karibea, nimepanda miti mm na wadogo zangu, miti ya 1,000,000/= ila eneo alikuisha baada ya mwaka mmoja nikapata dili yakunipa laki tano kila mwezi ikabidi kila mwezi napanda miti ya laki mbili kwahyo ukiangalia shamba langu miti inazidiana ukubwa kwahyo ata nikianza kuvuna nitakuwa navuna kwa awamu. Bado miaka miwili mbele nianze kupiga pesa. Sina gari marafiki zangu ambao tunachakalika pamoja kitaa uwa wakiona pesa tunatengeneza ila mm ata pikipiki sina wanafikili ninaonga mademu kumbe mm nimewekeza wao wamenunua magari. Uzuri wa kilimo cha miti wewe unafanya kupanda tu unaendelea na mambo yako mengine utaludi kufanya pruning. Vijana amka limeni miti mm ilo shamba nitapiga pesa mpaka watanitumia takukuru wakifikili nimekwapua sehemu kumbe nilijiongeza mapema.
Mbaazi soko lake bado halieleweki toka Manji amekamatwa misimu miwili iliyopita. Panda mikorosho na uitunze mkuu utaenjoy na upande ile ya kisasaShukrani Sana mkuu
Je nikalime korosho???? ...koroshow
Je nikalime mbaazi????
Adui yangu ni serikali yangu... Haswa ccm.... Natumai umenielewa
Hakuna mti wa kuvuna kwa miaka miwili ila nakushauri usiichi kwa malengo ya miaka miwili bali ishi kwa malengo ya miaka 20-50 mbele ili ujue faida ya miradi ya mda mrefu.Tusibishane ila hakuna mti unaweza ukapanda ukavuna ndani ya miaka miwil full stop. Labda kama unavuna fito.
Hongera sana kwa kudhubutu ndugu. Omba sana uwe na afya ya mwili, roho na nafsi na usimsahau Mungu wako kwa kufanikiwaSafi sana mkuu, Mwaka 2003 nilikuwa na ndoto za kwenda kusoma Uingereza sikuwa na kipato chochote nilitegemea nguvu ya ndugu wazazi wangu hawakuwa na uwezo, 2004 nikaja Dar kukaa kwa kaka yangu kwa ahadi kuwa atanisaidia kutimiza ndoto zangu haikuwa kweli niligeuka mlinzi wa nyumba na mfanyakazi wa miradi yake chini ya maisha ya hulka ngumu za Shemeji.
2005 nikaondoka nyumbani kwa kaka yangu nikisema liwalo na liwe nikaanza kwa kuokota chupa tupu za maji na makopo kisha nauza, haikuwa rahisi lakini niliweza, leo Mungu ni Mwema nina miliki viusafiri vyangu kadhaa nina nyumba kadhaa, Simtegemei mtu ila Mungu.
Ninawaangalia walio kuwa wakinikoga kwa ajira serikalini 2006, 2007. Wengi wao natumai nimewapita, kuna maisha Nje ya ajira ukiwa na nia ya dhati. Sijafika bali napiga mbio ili nifike niendako..
Mashamba ya kule Ulaya ni ya kurithi aka generational. Baba anamwachia mwanaye. Na baba aliachiwa na baba yake, nk. Kwahiyo wale wanaorithi shamba la familia mara nyingi wanakuwa wanajifunza kilimo na ufugaji tu kimatendo hapo nyumbani, na elimu ya juu kwao siyo muhimu. Sasa hii ni tofauti sana na mtu kuanza kufyeka mapori na vichaka ili atengeneze shamba. Jambo lingine ni kwamba wakulima wa Ulaya wanapewa ruzuku kubwa na Serikali zao . Bila ya hizo ruzuku wasingeweza kuzalisha chakula.c&p
*BAADA YA MIAKA 20 MTAKUJA TANZANIA KUOMBA KAZI*
Nilipokuwa mwanafunzi nchini Poland miaka ya 90, tulikuwa na tabia ya kwenda Sweden wakati wa likizo na kufanya vibarua mbalimbali hasa kwenye mashamba ya wakulima. Watanzania kutoka nchi mbalimbali za Ulaya Mashariki tulikuwa na sehemu zetu tulikokuwa tunakutana na kufanya vibarua hivyo kwa malipo ambayo kwa mwenyeji yalikuwa madogo sana lakini kwa sisi toka Ulaya ya Mashariki ya wakati huo yalikuwa makubwa sana. Tukirudi Poland na hizo nchi zingine na dola zetu, basi tunaanza kuishi kama watoto wa mfalme wa Nsesi. Pombe kwa wingi, watoto wa kizungu, na sherehe kila weekend.
Hao wakulima wa Sweden walikuwa watu wa kawaida wenye elimu za chini lakini wakiwa matajiri wenye mashamba makubwa makubwa na machine kubwa kubwa. Sisi vibarua wao tulikuwa na elimu kubwa kubwa, wanafunzi wa Ph.D, Masters, Degrees. Tulikuwa engineers, madaktari, wanasheria, wachumi nk.
Siku mmoja boss wetu huyo mkulima akawa anapiga story na sisi na kuanza kumwuliza kila mmoja anasomea nini. Tukamwambia maelimu yetu makubwa makubwa. Tulipomaliza akasema yeye elimu yake ni ya msingi ambayo ilikuwa kama form four ya Tanzania lakini ana mashamba na anaweza kutuajiri sisi Wasomi. Akaendelea kusema amefika Tanzania mara nyingi na ni nchi nzuri sana na hali ya hewa nzuri kwa kilimo na uwekezaji mwingine. Anashangaa kwanini ni maskini hivyo mpaka wasomi wake tunakuja kufanya vibarua mashambani ili kujiongezea kipato? Akasema Sweden peke yake imeisaidia mno Tanzania lakini haoni tukisogea mbele.
Alichomalizia ndio kimenifanya niandike leo. Akasema tukibadilishana watu leo. Waswedish wote wakaenda Tanzania na mikono yao mitupu na Watanzania wote wakaja Sweden na mikono yao mitupu. Baada ya miaka 20 Tanzania itakuwa nchi tajiri na Sweden itafilisika na kuwa nchi maskini na mtaanza kurudi Tanzania kuomba vibarua.
Ukweli mwingine unauma lakini hubaki kuwa ukweli. Ni miaka karibu 25 toka tuambiwe hayo na bado Sweden ni nchi tajiri na Tanzania ni nchi maskini. Zile elimu zetu kubwa kubwa hazijatusaidia kitu. Naendelea kutafakari. Yule Mzungu ni kama alikuwa sahihi.
Tunakosea wapi watanzania na nani atakuja kutwambia kuwa sio kila kitu uwe na mtaji bali kama ardhi ipo basi fulsa ya kwako wewe ni kuwa na afya njema. Jifunze kuumia ili baadae uje uwaajili wasomi na wakuite bosi.
Bado nawakumbusha vijana rudini vijijini mkatumie ardhi ya familia ipasavyo na ukipata nafasi nunua pia ardhi itakusaidia. Limeni kila aina ya mazao yaani mazao ya mda mrefu miti nk na mazao ya mda mfupi mbogamboga na matunda.
KAMA UNATAKA MALI UTAIPATA SHAMBANI
7Emu acha hzo kaka miaka miwili ata mua uvuni itakuwa miti?
Tofauti yetu na wao ni kuwa hawa tumbo jembe la mkono,Marekani ni Taifa kubwa duniani lakini linaongizwa na Matajiri wakubwa ambao ni wakulima
Ndio maana Mwlm Nyerere alisema Kilimo ni Uti wa Mgongo wa Taifa♂