Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,705
- 36,153
Huo ndio ukweli.
Kuna wahandisi waandamizi ndani ya serikali ya Tanzania wanafanana mshahara na mafundi wenye diploma ambao ndio kwanza wanaanza kazi serikalini.
Ukiweka na posho Eng. anakalishwa chini.
Kuna wahasibu wenye CPA wanakalishwa chini kimaslahi na masekretari . Wote wako serikali Moja.
Posho ya askari private wa TPDF ni kubwa kuliko mshahara wa baadhi ya watumishi wa umma. Ukiweka na mshahara ndio kabisa maafisa wengi tu wa umma hawamfikii askari wa TPDF ambaye ni form four.
Kama unataka vyeo tafuta Masters ila kama unataka pesa tafuta taasisi nzuri