Unadhani inawezekana? Ni kama graduate anakutana na kazi anaambiwa wxperience miaka 7Tangazo la kazi.
Natafuta mtu au watu, kazi yao ni kusambaza/kushare blog yangu.
Kila siku uwe unanipatia views 2000 malipo nitext tukubaliane 0685067849 utakuwa unalipwa kila siku.
Aliyeko serious anicheki
ok nicheki kwenye simu tuongeeKwanza blog yako inahusu nini? Na unataka kusema mtu akikubali kufanya hivyo akipata watu 150 halipwi? Labda ungesema unalipa kwa idadi ya watu wanaoview coz hata huyo atakaye share na kupata watu 100 still amefanya advertisement ya blog yako, ni mtazamo tu.