mr himo one,mi nshalegeza kamba!sasa nili2ma ile application form then mkanambia sijajaza baadh ya sehemu ila mlivoreply hamkuattach na ile form nijue wap mwataka nijaze!sasa sijui imekaaje hii!email nilotumia inaanza na jina la loveness!na jina la vyeti ni upendo!fanya mambo himoo
wadu msidanganyane na msitumie uzoefu wenu wa kuingizwa mjini kuwadanganya watu na kuwakatisha tamaa watu wanaotafuta kazi,
ba recruitment agency ni wa kweli na wanafanya kazi zao kwa uhakika na haraka,mimi nimfano wa watu waliohudumiwa nao na nimepata kazi kwa haraka kuliko nilivyodhani,
binafsi nimemaliza chuo miaka miwili iliyopita nimefanya vitample hapa na pale bila uhakika na wakati wote huo nilikuwa nafanya application kila recruitment agency unayoijua hapa dar-es-salaam kuna application yangu na hata wafanyakazi wa hizo agency wengi wao ni marafiki zangu lakini nataka niwaambie ukweli hao wanaosema wanatoa kazi bure ni uongo wanachukua rushwa kwa baadhi ya watu na ndio wanawapatia kazi tena rushwa yenyewe ni zaidi ya hiyo elfu hamsini ya ba ra,mimi nimewahi toa hela kwenye hizo recruitment agency zaidi ya laki saba lakini sijawahi pata kazi kila mara wanakupigia simu njoo kwa interview wanakuuliza maswali lakini no job; no what; wanakuwambia watakupigia hawakupigii ng'oo.
ba ra ni kampuni ya muda mrefu na ni ya kimataifa sema walikuwa wanatumia jina lingine na walikuwa wanafanya biashara nyingine wamebadilisha jina mwezi uliopita na wapo hapa dar Mbezi beach ila hawajafungua ofisi rasmi hili ni jambo la kawaida ulimwenguni kote watu wanataka contact na efficiency sio address zisizona mafanikio,wamebadilisha jina mwezi uliopita kutokana na matatizo ya share zao.
ukweli ndio huo ba ra wamenisaidia kwa shilingi elfu hamsini tuu; nimepata kazi lem and len tabata na nitaanza january 2 na watachukua 20% ya mshahara wangu mmoja tuu wa kwanza,kama unataka ushauri zaidi njoo pale tabata january nione mimi finance manager mpya nitakuhakikishia jinsi gani ba ra wanaaminika.
acheni kusikiliza maneno ya wafa maji wewe k=unaetafuta kazi ndio unajua adha ya kukaa bila kazi wengi hapa jf ni mabwanyenye wako ofisini hawana kazi wanachat tuu na kukatisha watu tamaa.elfu hamsini sio kitu ni hela ndogo sana we have to take risk hata kama ingekuwa laki tano,

Aisee hii ni DESI mkuu next Level kaeleza vizuri sana,Himo One and Co. Taja kampuni 3 tu kubwa ambazo mnamkataba nazo
wacha utapeli hizo kazi ni zako hadi uwape guarantee? qualifications zao mwazijua? soko la ajira duniani kote limetikisika tangu mwaka jana ....USA yenyewe ni issue kupata kazi hata kama una sifa sembuse Tanzania??? Huu ni utapeli wa waziwazi we mchaga wa HIMO.Ahsante Murefu tumekusikia tumekuelewa,samahani sana sisi sio wezi,kama na wewe unatafuta kazi au una ndugu,jamaa,majirani na marafiki wanaotafuta kazi hii ni nafasi yenu ya kweli tumeni cv zenu patakazi1981@gmail.com bila wasiwasi na kwa uhakika mtapata kazi mara moja.
Nguli umenisoma vizuri eeeeh?
Thanks for that but despite filling your forms you haven't respond my inquiry of knowing charges or expenses hope for your responses soon and good lucky to both, u and me!!