Kama unatafuta kazi suluhisho lako lipo hapa-ba recruitment agency | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama unatafuta kazi suluhisho lako lipo hapa-ba recruitment agency

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by HIMO ONE, Dec 10, 2010.

 1. HIMO ONE

  HIMO ONE Senior Member

  #1
  Dec 10, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wadau na watanzania wote kwa ujumla,napenda kuwatangazia kuwa mkombozi wa ajira sasa amekuja Tanzania.Kampuni mpya ya kutafuta kazi imeanzishwa hapa Dar-es-Salaam,inaitwa BA Recruitment Agency.Japo kutakuwa na gharama kiasi kwa ajili ya kuchangia huduma hii,napenda kuwahakikishia kuwa tuna uzoefu wa muda mrefu na tutajitahidi kukufikia na kukusaidia kwa wakati,Kazi tulizonazo kwa sasa ni kama ifuatavyo;

  -Wahasibu
  -Masoko
  -Maafisa/Mameneja Utumishi
  -Wanasheria
  -Madereva
  -Maafisa Uhusiano
  -Masecretari
  -Watafsiri
  -Waalimu

  Kazi hizi zipo hapa Dar-Es-Salaam na nyingine ziko nje ya Dar kama Morogoro,Arusha,Manyara na Mbeya.

  Tafadhali wahi sasa tuma CV yako patakazi1981@gmail.com ,tutawasiliana na wewe mara moja kukujulisha gharama za huduma na taratibu nyingine.

  AHSANTENI SANA NA KARIBUNI WOTE.
   
 2. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2010
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  nimeshawatumia CV mkuu naomba mnipe piority pls
   
 3. quimby_joey

  quimby_joey JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 361
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Nimesha-respond to your email please contact me for further info. Kila kitu kipo kwenye hiyo CV yangu.
   
 4. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2010
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  mimi wamenitumia form ya kujaza ndio nahangaika nayo hapa niwarudishie ila kuna fees ya kama 50,000/= na asilimia ishirini ya mshahara sasa hii haieleweki kidogo kama hawa jamaa wapo hapa watueleweshe haya malipo yakoje?
   
 5. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #5
  Dec 10, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  patakazi1981 huo mwaka ndiyo uliozaliwa? can't this be a nigerian scamm?
  immagine 100 cvX50,000=5,000,000

  I should start my patakazi1947@google.com for a ka-small fee of 45,000tsh
   
 6. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  haya mambo ndo mimi huwa nayakataa, hata kama uko desperate na kutafuta kazi inabidi umuhoji huyo jamaa maswali yafuatayo:

  1. Ofisi zao ziko wapi? na je wana website yeyote?
  2. Na je, itakuwaje wakutafutie kazi afu wakutoze application fee ya Tshs. 50,000 kwa uzoefu wangu ni kwamba kampuni/taasisi inayotafuta wafanyakazi kupitia kwenye recruitment firm yeyote ndo wanaotakiwa walipe na sio mtafuta ajira.
  3. Mwisho kabisa usipende kutuma CV yako kwa watu wasiofahamika na hasa wanaotumia e-mail address za bure kama vile yahoo, gmail, hotmail, livemail,rocketmail
   
 7. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #7
  Dec 10, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  embu itundike hiyo form wadau tui-check kabla hutatapeliwa! haiingii akilini ....huna pesa na ndo maana unatafuta ajira but mtu anakwambia umlipe 50,0000. Isije ikawa na wao wamekosa ajira then wameamua watengeneze kadude kao ka kuwaingizi kipato. ha ha ha kweli nimeamini " Knowlege is Power"
   
 8. Kottler Masoko

  Kottler Masoko Senior Member

  #8
  Dec 10, 2010
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kuweni makini wadau,ulizeni wale jamaa wa Erolink wanaofanya kazi za customer care voda.
  MATANGAZO YA KAZI YANATOKA KILA SIKU, USIWE MVIVU KUWEKA KWA MUUZA MAGAZETI TSH 20,000 YA KUSOMA THE GUARDIAN NA DAILY NEWS KILA SIKU, UTABAHATISHA TU SIKU MOJA,NA PIA KUWA MVUMILIVU NA INTERVIEW RESULTS MAANA NDO UNAJENGA UWEZO WAKO WA KUJIELEZA. SOMA MAGAZETI HAYO,TUMA MAOMBA HATA MARA 1000,JIANDAE VIZURI KWA INTERVIEW NA IPO SIKU ITAKUWA ZAMU YAKO KUPATA KAZI.

  THANKS.
   
 9. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #9
  Dec 10, 2010
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  utapeli huo!
   
 10. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #10
  Dec 10, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mmmmmh huo utapeli kwa wanangwini ila kwa wanascience hamtupati ng'ooooo, mi ni pure scientist hapa sidanganyikiiiiiiiiii.
   
 11. I

  Ipinda Member

  #11
  Dec 10, 2010
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuweni na huruma jamani watu wanatafuta kazi bado mnawanyonya?
   
 12. l

  lauti Member

  #12
  Dec 10, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mmh type za wezi kama hawa zipo nyingi,kuna moja recruitment agency ipo mabibo hostel yani ni matapeli sijapata kuona,lets trust in god,tutapata tu,yani utoe 50,000 hata kaz hujapata?labda ukipata ndo uwape itamake sense kdogo,dah kwel elimu haina thaman tanzania,watu tunahustle mpaka tunapauka,tusife moyo.
   
 13. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #13
  Dec 11, 2010
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Don't pay for getting a job!!!those guys are a hoax! You should send your CV to reputable recruiters who charge their clients and not u the candidate! Such as radar, e goli, epic etc
   
 14. m

  mams JF-Expert Member

  #14
  Dec 11, 2010
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 616
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Siku zote nikiona maombi ya kazi kupitia email ya gmail, yahoo, hotmail, excite and the like sipotezi muda wangu kupeleke cv
   
 15. g

  geophysics JF-Expert Member

  #15
  Dec 11, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Himo one...unatafuta mtaji wa kwenda kuwekeza HIMO- Knjaro.. Acha kuwaibia watu...ni dhambi kubwa hiyo. Kama unatoa huduma nashauri utoe huduma malipo yatakuja baada ya kujijengea jina....Huu ni wizi wa kinigeria kama mjumbe alivyosema hapo juu.
   
 16. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #16
  Dec 12, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Dah! ujambazi mwingine umeshaingia, na watu wa humuhumu JF hasa wageni-vijana waliotoka chuo mwaka huu ndiyo haswaa walengwa! Tumieni akili zenu za kuzaliwa, mtu anakupa email adress yake, tena ya gmail wewe unatuma cv na pesa!!!!!!!! hivyo vichwa vyenu mnavitumiaje? tena bila aibu mnarespond fastafasta bila hata kuhoji....! Msishangae na hako ka cv ukakuta anakatumia jamaa flani hukooo namtumbo Kwanye migodi ya uranium!! tweh teh!
   
 17. r

  rmb JF-Expert Member

  #17
  Dec 12, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  usanii mputu huu! kampuni ni mpya halafu ina uzoefu?? imekaaje hii??
   
 18. kilindu

  kilindu Member

  #18
  Dec 12, 2010
  Joined: Jul 31, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kazi nitafute mimi, kulipia nilipie. Hivi mpo serious ninyi? Kwanza hamjatoa mawasiliano yoyoye mnajua kuwa watu wapo desperate na kupata kazi mntaka kuwa exploit kutumia hiyo weekness, Mimi sijawahi sikia, Kuna recruitment agency kama Delloite, Radar hawacharge wala nini. Hebu kama mpo makini toeni information zaidi.
   
 19. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #19
  Dec 12, 2010
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0

  WADAU HAWA JAMAA WAKO REAL ILA NAHISI HAWANA ADRESS MIMI NILITUMA CV YANGU JUZI WAKANIPIGIA SIMU BWANA MMOJA ANAITWA Elihuruma YEYE NI MD WAO NIMEKUTANA NAE JANA HOTELI YA BLUE PEARL UBUNGO AKANIELEZA KUWA WALIKUWA NA OFISI MAGOMENI MIKUMI BLOCK 15 ILA KWA SASA WAMEHAMA NA WANAFANYIA KAZI ZAO NYUMBANI KWAKE MBEZI BEACH AMBAPO AMEFUNGUA OFISI HAPO.

  WALIKUWA WAWILI WAKANIINTERVIEW NA KWA KWELI JAMAA WANAFAHAMU VIZURI MAMBO MENGI.TULIAGANA NA NILIWALIPA KWA MOYO MWEUPE SH 50,000/=NA WAKANIPA RISITI YA REGISTRATION NA SERVICE FEES WAMENIINGIZA KWENYE DATABASE YAO NA MIMI NI MTU WA 290.LEO SAA NANE MCHANA NIMEPOKEA SIMU YA GM WA LEM AND LEN INDUSTRIES MR KUMAR,NIMEAMBIAWA WAMEPATA DETAILS ZANGU KUTOKA BA RA NA KESHO SAA TATU KAMILI NIENDE OFISINI KWAO TABATA KWA AJILI YA INTERVIEW NA MAMBO MENGINE INSHALAH MAMBO YAKIKAA SAWA NITAWAUPDATE WAKUU.

  NAFIKIRI LAZIMA TUKUBALI KUCHUKUA TAHADHARI NI MUHIMU LAKINI KUTAKE RISK INAWEZA SAIDIA SANA 50,000/=HAITOSHI KWA STAREHE ZA SIKU MOJA HAPA DAR ILA UNAWEZA PATA KAZI YA MAMILIONI KWA KULIPA 50,000/=EMBU TUJARIBU TUONE NA MIMI NITAWALETEA HABARI WHICH I HOPE WILL BE POSITIVE TOMMOROW AFTER MY INTERVIEW.
   
 20. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #20
  Dec 12, 2010
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  scam!
   
Loading...