Labda mapanya ya Dar yaliyozoea kula kitimoto na mapaka kwenye bar.Indocid cha mtoto piriton tu..ukiweka moja kwenye kakipande ka nyama au samaki asubuhi unnawaokota kama mateja
Hahaaaa mkuu Ni kweli? Nasumbuliwa Sana na panya aiseIndocid cha mtoto piriton tu..ukiweka moja kwenye kakipande ka nyama au samaki asubuhi unnawaokota kama mateja
😂😂Labda mapanya ya Dar yaliyozoea kula kitimoto na mapaka kwenye bar.
Yale majanja hayalagi nyama zilizotegwa. Yatafanya kila yawezalo hata ikibidi kufungua friji na kula vilivyomo.
Tatizo ni kero akianza kula sofa kelele zake tuKuna panya anapekenya sofa ndani kwa ndani, hatoki nje nahisi hata nikimtega ni kazi sifuri... nimeamua kumpuuza nione kama atalimaliza sofa!
Tatizo ni kero akianza kula sofa kelele zake tu
Hahaha huyo atakuwa panya wa Dar anasoma mazingira kabisa hahahaHuyu wangu ana adabu, anatafuna taratibu mno.... akijua kuna watu sebleni anajikausha.
Hii ndo natumia siku zote kuulia panyaJe umekuwa ukisumbuliwa na panya sana?
Je umetumia pesa sana kununua sumu za panya bila mafanikio?
Kama jibu ni ndiyo basi soma na ufanye hivi;
Nenda duka la dawa nunua dawa inaitwa INDOCID (indomethacin 25 mg capsules) halafu katege kama unavyotegaga sumu nyingine za unga za panya. Baada ya siku 4-5 matokeo utakayoyapata naamini mwenyewe utaleta mrejesho
Dawa hii hutumiwa na binadamu kama dawa zingine tu ila kwa panya ni sumu kwani wakishakula utaona siku ya nne panya wanakufa na wengine wanashindwa kutembea kwa kusagika sagika mifupa
Kama una jirani yako mshauri naye atumie maana muda mwingine waweza kuta unahangaika kumbe wanahamia kutoka nyumba ya pili
Dawa hii inaepusha gharama kwani pakiti ya buku (tembe 10) unaweza tega mara kadhaa bila kuimaliza pia ni salama kabisa wakati wa kutega kwani siyo sumu kwa binadamu
Una uhakika mkuuIndocid cha mtoto piriton tu ukiweka moja kwenye kakipande ka nyama au samaki asubuhi unawaokota kama mateja
Utawakuta wamekufa au wamezubaa tu kama walivyo mateja?Indocid cha mtoto piriton tu ukiweka moja kwenye kakipande ka nyama au samaki asubuhi unawaokota kama mateja
Duh!!!,noma sana.Indocid cha mtoto piriton tu ukiweka moja kwenye kakipande ka nyama au samaki asubuhi unawaokota kama mateja
Mimi alikaa kwenye sofa, anatoka usiku mchana anakausha unamsikia anavyohangaika.Kuna panya anapekenya sofa ndani kwa ndani, hatoki nje nahisi hata nikimtega ni kazi sifuri... nimeamua kumpuuza nione kama atalimaliza sofa!