Kama unasoma chuo chochote Dar naomba msaada wako

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,516
habari wadau..

natafuta contacts za viongozi wa serikali za wanafunzi dar..

kama unasoma ifm, tia, ustawi, tudarco. nyerere, cbe, duce, etc please please niipatie namba ya member yeyote ya serikali ya wanafunzi hapo chuoni kwenu

kuna project ya wanachuo inaandaliwa,,, nimuhimu nikapata namba za hao watu.. maana tunaanza na dar kwanza
 
To be honest bro u are not serious yani upo dar na una project na wanachuo( ndio ipo kwenye maandalizi) unashindwa hata kufika chuo kimojawapo na kuchukua namba husika?
 
To be honest bro u are not serious yani upo dar na una project na wanachuo( ndio ipo kwenye maandalizi) unashindwa hata kufika chuo kimojawapo na kuchukua namba husika?

udsm nimeshafika.. sio vyuo vyote rahisi kufika maana ratiba na vyuo vimefungwa now.. wengi hawapo..

na kwa njia hii hii ya jamiiforums.. nimeshapata namba wahusika vyuo viwili inbox tayari.. mtandao unaokoa muda na mafuta ya kuzunguka sana
 
Back
Top Bottom