Kama unapenda Sana Ngono!!!

Sasa si ndio nimewapa tatizo unajistukia😂
Na wewe zitakufaa kipindi cha kutindikiwa🤪
But nilitaka wahusika ndio wapewe njia hizo.
Niko na mchumba mim, najipimia tu.
 
watu ambao hawana pesa ndo huwa wanamawazo kama haya...keep it up cjui unaongelea kuwa na maendeleo gani ambayo yatakufanya uishi daima kwenye huu ulimwengu....na watu kama nyie ndo wale mnakuja kuhangaika uzeeni na sketi za under 20. Tafuta pesa Fanya stareheehhe kulingana na pesa unazotafuta by the way kila MTU ana aina ya maisha anayopenda so sioni ajabu kama MTU anatumia pesa zake kuwanunua hao Dada poa cox katika maisha kuna kutegemeana yule ambaye tuna anauza nyapu nyumban kaacha familia inamtegemea...
Kwann uhangaike kumfukuzia demu mwezi mzima wakati shortcut IPO tena shortcut yenye game ya kibabe......ni hayo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani ni vema kufahamu inakuwaje kuna watu wanaweza jizuia na wasioweza.

Kwa mfano, kunanmtu tokea abalehe hakuwahi kupata totoz nzuri sababu ya hali ya maisha yake na familia yake. Na akaja zipata pesa akiwa mkubwa.... Mfano diamond, inakuwa ngumu sana kukubali kusurrender game, kuachia legue na kutundika jezi.....

Anakutana na watoto wazuri na wanamtaka sababu anacho wanachokitafuta.... Na yeye bila hiyana anawala.....

Sasa ni vema kujua hawa victim wa tabia wanakuwa influenced na vitu gani kabla ya kuwajudge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nchi kama Tanzania, usipopenda/kuwaza ngono utapenda/utawaza nini sasa!
Siyo Tanzania tu. Ulimwenguni kote starehe kubwa na muhimu pia inayopatikana kirahisi na haraka zaidi kuliko nyingine zote ni starehe ngono. Hivyo watu wengi hasa maskini upenda na kuwaza ngono kuliko starehe nyingi zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…