CarloJesus
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 431
- 838
Ya Kwanza Ni kukubali udhaifu na kumuangukia aliekupa heshima ya kuwa binadamu...kuanza mchakato wa kua mchamunguNjia za kuepuka, tafathali...
Mithali : Mlango 13Dah...imeandikwa..... Wenye akili hupenda kufanya mambo yale wanayoyamudu tu. Waluguru 7:13 😎
Ukijua kuwa muda mwingi unafikiria ngono,na huwezi ji-control kiasi unaenda kuchukua Malaya aka (Chips funga)
Mimi Ni mdogo bado kwa Hekima Kaka...tuongezee na wewe ushauri...Jambo jema kukumbushana mambo hayaMbona mada haijakamilika,hata ushauri hivi
Add kwenye uziYa Kwanza Ni kukubali udhaifu na kumuangukia aliekupa heshima ya kuwa binadamu...kuanza mchakato wa kua mchamungu
Ya pili Ni kuepuka mazingira... marafiki wabaya na namna zote ambazo huwa Ni mtego kwako Kama aina ya mziki...tv channels...videos picha ,uzi za ngono jf Kama kula tunda kimasihara nk
Ya pili Anza kujiweka busy na activities ambazo Ni kinyume na tabia hiyo...waweza hudhuria semina Jenga za uchumi ,biashara nk au kusoma vitabu Kama Biblia,Quran nk
Ya tatu kuwa na muda wa tafakari wapi unaanguka
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasemekana eti ukiwa mnywa pombe huwazi sana ngono tofauti na wasio wanywaji ndo starehe yao...ni kweli?
Njia za kuepuka, tafathali...
But nilitaka wahusika ndio wapewe njia hizo.Jipe shughuli (limalima bustan hapo kwenu, fyeka majani, palilia nyasi, okotaokota taka mtaani kwako nk) michezo na mazoezi , tafuta majukumu kanisani au msikitini soma vitabu, angalia documentaries za kujielimisha mfano different cultures, science technology and innovations, za burudani kama travelling,environment, stunts and challenges etc
Maisha ni matamu pia bila ngono, ni mtazamo tu!
Inasemekana eti ukiwa mnywa pombe huwazi sana ngono tofauti na wasio wanywaji ndo starehe yao...ni kweli?
Wenye loss of libido uwanja wenu huu.Hawana huo muda sana!hadi inapobidi!