Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Hahaha we mtu umenifanya nicheke msibani hakyamama...Nilitaka kushangaa huu uzi nataka kuscrow down mpaka mwisho bila kumuona Babu dah ningeshangaa kweli kweli au Bibi Sky alikufichia tumbaku
Hahaha we mtu umenifanya nicheke msibani hakyamama...Nilitaka kushangaa huu uzi nataka kuscrow down mpaka mwisho bila kumuona Babu dah ningeshangaa kweli kweli au Bibi Sky alikufichia tumbaku
Oooh! It's a big deal. Am good in English, how can I get in touch with you?
hahahahha hahha picha linaanza"Good at ....." siyo "Good in ....". Kiingereza kazi kwelikweli Bongo.
Niko apa KakaHabari kama huna kazi, na unapiga kingereza kizuri kabisa bila kukwama, nicheki tufanye kazi.
Nipo dar es salam
Me too mzee.I highly doubt.
Asante kwa kuwa umeiona hyo....... nilimzoom tu"Good at ....." siyo "Good in ....". Kiingereza kazi kwelikweli Bongo.
Presumably, my reply is overdue.Habari kama huna kazi, na unapiga kingereza kizuri kabisa bila kukwama, nicheki tufanye kazi.
Nipo dar es salam
Simple spoken english...my perfect choice sio unaleta mambo kuelewa mpaka utafute dictionary hapa.Presumably, my reply is overdue.
Let me introduced myselvea, if I can survived in that competitions
My names are mkorea from city central dar es salaam, age between 37 and 27. Iam double with three children, given me a work hautajutia. Thank you boss.
am good with my own English
Thanks for your reply. It looks like the deal is still on. Please interview me, you won't regret.Simple spoken english...my perfect choice sio unaleta mambo kuelewa mpaka utafute dictionary hapa.
Watu washaharibiana tayari hapoHii lugha ndugu yangu ni majanga Tanzania. Huyo mkuu alitaka kuonyesha kuwa anastahili hiyo kazi. Kumbe ngeli anayotumia kujinadi ina hitilafu tayari!
Nadhani ilikufagaHii project ilikufa?
niambie, bado upo?Habari kama huna kazi, na unapiga kingereza kizuri kabisa bila kukwama, nicheki tufanye kazi.
Nipo Dar es Salaam