Kama unanunua mahindi tuonane hapa

Mkubwa bei imesimama ngapi kwa sasa, unaweza nipa mawili matatu kuhusiana na gharama za kilimo na maeneo ya kilimo cha mahindi kwa songea. Nijibu hata kwa pm
Nakujibu hapa hapa.... kule mzee mashamba kununua simple kukodi simple.... na rutuba ipo.

Mi mwenyewe natimba kule muda wa mavuno na napajua vizuur saaana... ni sehem ambayo utajiri upo nnje nnje kwa wajasiriamali
 
Unaenda kununua vp unajua bei ya sasa. Nifafanulie kidogo unaposema utajiri upo nje nje
 
Unaenda kununua vp unajua bei ya sasa. Nifafanulie kidogo unaposema utajiri upo nje nje
We jamaa bhaana..... pesa zinaokotwa road ukiwa unapita tu.

We umeulizia mambo ya kilimo nakuambia fresh tu ardhi rutba saana tu.... unasema nikufafanulie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom