Vodosky
Senior Member
- Apr 6, 2016
- 154
- 134
hahaa haka kazawadi kana mushkeli...hehee sasa vifaranga vilale nje wajameni!!! haahhaMambo mengine atafanya mwenyewe!
hahaa haka kazawadi kana mushkeli...hehee sasa vifaranga vilale nje wajameni!!! haahhaMambo mengine atafanya mwenyewe!
Na tangu hapo atakuwa hana habari na wewe tenaNitampa wangu zawadi ya hivyo ili iwepo hadi mwakani ... nampa na mchanganuo
Nampa mitetea 7 na jogoo mmoja ...
after one year naamini atakuwa na kuku zaidi ya mia tano.
Haswaa... Yani bora umpe ua tu likaliwe na panya....Kama hiviView attachment 470138
naona kama kuumpa mimba ndio zawadi inayokuaZawadi inayoendelea kukua na kumpa faida baadaye ndo zawadi anayostahili umpendaye ...
View attachment 470124
labda india....umri umeenda, hatuchepuki sisi jamani
Hayo ni mambo ya kitoto,, wakubwa hatufanyi mambo hayo!