Nitampa wangu zawadi ya hivyo ili iwepo hadi mwakani ... nampa na mchanganuokwa vile kwa asilimia kubwa hakuna mapenzi ya kweli siku hizi watu hawatoi zawadi zenye kukua na kuleta faida kwa wenzi wao... sababu kila mtu anapita tu
Ooouh..unafanya vizuri shekhMama watoto wangu... mama yangu ni mzee huyo nampa mkate sio mbegu
Huyo anapikwa rosti, alafu anampelekea mchepuko wake kama zawadi ya valentine... Utakonda wenzako wanenepa
Inakuwa hatari ..Kama hiviView attachment 470138
Inakuwa hatari ..
Usisahau kumjengea banda la kufugia hao kkuZawadi inayoendelea kukua na kumpa faida baadaye ndo zawadi anayostahili umpendaye ...
View attachment 470124