Kama unamiliki facebook Group hulitumii naomba nikupe pesa

Kama unamiliki facebook Group hulitumii naomba nikupe pesa

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,393
Wapendwa Nanunua Facebook Groups kuanzia 400k members na kuendelea
Je wewe ni admin wa group la facebook na halikuuingizii faida yoyote? basi katika kipindi hiki cha mdororo wa uchumi naomba uniuzie jumla jumla.

Tukikubaliana,tutalipana mkono kwa mkono kisha unanifanya admin mimi nakulipa fedha yako.

Note:Hii siyo kwamba nataka kujoin groups zisizo zako...nataka kununua mazima mazima.
 
400K?
Unamaanisha group lenye members zaidi ya 400,000/- ?
 
acha masihara ndg. kama unalo tuongee..kumbuka sitafuti page ni group...kama uko katika hii industry utakuwa unajua tofauti yake.
Nicheki wasap kwa namba hii tukamilishe dealkama nitakua nimekiz vigezo 0621038900
 
Kuna group moja lilikuwa linatupia picha za Ngono sana , linaitwa Tabasamu na Daniel.
Lilikuwa na members 200K. Nashangaa ghafla silioni tena.
Nilipolitafuta nikakuta jingine jina hilohilo lina members 500 tu. Halafu mimi sio member tena.

Kumbe michezo yenu ndio hii ya kutuuza. Ngoja nikajitoe kwenye magroup yote ya Fb.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom