King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,124
- 98,504
Kwani yeye si anataka MAPENE mkuu?Hiyo sura yako kwenye avatar ni mbovu mno na inatisha . Hawezi kureply request yako
Kwani yeye si anataka MAPENE mkuu?Hiyo sura yako kwenye avatar ni mbovu mno na inatisha . Hawezi kureply request yako
Hivi mbona mimi sikuona uzi huoKuna kijamaa kimetongozwa juzi na baharia mpemba wa zanzibar..
Nahisi ulifutwa maana kijamaa kiliweka hadi message za PM kwenye uzi wakeHivi mbona mimi sikuona uzi huo
Daah hatari sanaNahisi ulifutwa maana kijamaa kiliweka hadi message za PM kwenye uzi wake
HAHAHAHUbongo ni kitu cha ajabu sana, kwa vile thread ipo MMU na imetaja hapari za uhitaji wa mpenzi basi mtu unaweza ukapata mihemuko ukaitafsiri kimapenzi mapenzi...
But, what if mleta mada ndio wale watu wasiojulikana, ukajipeleka kwake ukaishia kupotezwa na usionekane tena...
What if mleta mada ni mkwapuaji mali na fedha, ukajipeleka na kikakupata kilichompata kanga hadi leo ako na madoa...
sawa
Kama unakuja Arusha na Unahitaji mpenzi leo njoo DM 🙂🙂🙂
Jana nimelifukuza moja, naliambia kaoshe nyapue linasema "sijaliwa babaa" camoon nililitimua bana!Mademu wa huko wote vimeo halafu wanajitia ujuaji mwingi...
We njoo
Baharia huwa hakosei mahali pa kudondosha nanga....Msisahau kuweka jinsia sio mabaharia wanakuja PM mnaanza kutokwa povu