Umeandika lakini hujajibu hoja na unaelekea hujui kitu. Watumish ndio wanaojua maumivu ya hiyo bodi na sheria zake alizosaini Magufuli. Kwa kifupi ni kwamba JPM si salama kwa mustakabali na ustawi wa watumishi hasa sekta ya umma.SIKUBALIANI NA WEWE.
NAWASHAURI VIJANA WAKOPE HESLB TUU KWA SABABU HIZI:
1. KAMA WATAFANIKIWA KUAJIRIWA HAPO BAADAYE WAJUE UCHUNGU WA PESA UKOJE. WATOTO WA SIKU HIZI WAMEKUA KWA SPOON FEEDING NYANJA ZOTE, HAWAJUI MAISHA KABISA KWA HIYO SIKU WAKIPATA AJIRA WAKAANZA KUKATWA AKILI ZITAWAKAA SAWA.
2. SERIKALI HAIJAFANYA ANALYSIS YA ELIMU YENYE TIJA KABISA. VYUO VIMEJAA KOZI NYINGI AMBAZO HAZINA FUTURE MBELENI KABISA. SASA YA NINI KUHARIBU PESA YAKO KUSOMESHA MTOTO WAKATI HUNA UHAKIKA KAMA ATAAJIRIWA?
YA NINI MZAZI UINGIE HASARA? BORA UWAPE HASARA HAO HAO HESLB.
CONCLUSION: KULIKO KUCHUKUA MKOPO NA KUMSOMESHA MWANAO CHUO KIKUU NI BORA UMPE HIO PESA KAMA MTAJI AKISHAMALIZA CHUO ILI AANZE NAYO MAISHA.
Naombeni msaada wenu sana..!
Habari za Jumapili wana jamvi.. Naombeni msaada kwa mwenye ujuzi juu ya hili. Nataka nisome Diploma ya Clinical medicine mwaka wa masomo 2019/2020 na vigezo vyote vilivyopo kwenye Nacte quide book ninavyo. Wasiwasi wangu upo hapa, Mimi ni graduate wa bachelor degree mwaka 2018 na siku soma...www.jamiiforums.com
Kabla ya biashara kwanza anatakiwa apate elimu ya biashara kwa kina unaweza kukopa million 10 na kumpa ila mambo yasiende km unavyodhani.Hauwezi kuchukua mkopo wa Bank Kama mzazi alafu ukasomeshe huu ni zaidi ya ujinga.Hakuna investment ya aina hii,ukope pesa Bank ili ukasomeshe mwanao kweli?
Rai yangu.Ingawa Mimi nimesoma lakini Elimu ya juu haina maana kwa graduate kwa Dunia ya Leo hivyo mzazi/mlezi my recommendation chukua mkopo mpe mwanao aanzishe Biashara
Ada kila mtu ana uwezo wa kulipa. Wewe unaishi Dar, mwanao anasoma St. Augustine Mwanza, ale, alale, apate stationeries. We nadhani ada ni issue?Kaka nimazoea watanzania zaidi ya 40% tunauwezo wa kusomesha watoto wetu isipo kua tuna dhana potofu kuona kwamba kua masikini/mnyonge ni sifa fulani natumezoea kuomba msaada kwa serikali ambao ni gharama kuliko kujitafutia mwenyewe, tunahitaji new "mind set" ili kuweza hu mfumo wa ubepari/ capitalism...sio rahisi mfanya kazi/mfanya biashara kushindwa ku save laki 8 kwa mwaka ili alipe ada ya mwanae...... " if you think education is expensive try ignorence "...wataalamu wanasema
Watoto wengi baada ya kidato cha 6 ni empty headed. Unampa milioni 10 kafilisika mnashikana uchawi ndani? Kwa mfanyabiashara wa kawaida kukopa mil 3 kumsomesha mwanao ni faida sababu ni investment....kisha kopa hiyo mil 10 umpe mtaji. Msomeshe kwanza.Hauwezi kuchukua mkopo wa Bank Kama mzazi alafu ukasomeshe huu ni zaidi ya ujinga.Hakuna investment ya aina hii,ukope pesa Bank ili ukasomeshe mwanao kweli?
Rai yangu.Ingawa Mimi nimesoma lakini Elimu ya juu haina maana kwa graduate kwa Dunia ya Leo hivyo mzazi/mlezi my recommendation chukua mkopo mpe mwanao aanzishe Biashara
Wape pole wanaolipa mkopo. Mimi silipi tena. Niliwahi kulipa wakati nimeajiriwa....ajira yangu ya pili nilivyohama kampuni wakawa hawanikati kabisa. Boda ni kama mazuzu hata hawafuatilii kujua kama mtu huyu alikua analipa siku hizi yuko wapi? Ever since nimeacha kuajiriwa hata hawajui niko wapi.Poleni sana...
Cc: mahondaw
Unadhani ukidisco ndo haulipi????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ningelijua ningeishia semister ya 5 as if nimedisco mkataba uvunjike kama ni knowledge nimeshapata vyeti ni makaratasi tu nimeviwekea fremu vinaning'inia ukutani kwa sababu nilishajiapia sitokaa niajiriwe
Kweli aisee ni bora huo mkopo wa heslb unalipa pole pole na kama hauna kazi unapumzika kulipa."Mkopo ni gari" nimejikuta naikumbuka starlet yangu niliyonunua kwa mkopo
Ofcoz mkuu.. Maana riba za bank nyingi ni 10% kila mwaka sijui soo ni balaaa... Loan boad wameweka 6..Wakati mwingine ana uwezo, anang'ang'ania mkopo wa Bodi ili ile kwako baadaye. Hata hivo, mkopo wa Benki hauwezi kuwa cheaper kuliko bodi
Nilikuwa najua mjanja niko peke yangu. Khaaa!Wape pole wanaolipa mkopo. Mimi silipi tena. Niliwahi kulipa wakati nimeajiriwa....ajira yangu ya pili nilivyohama kampuni wakawa hawanikati kabisa. Boda ni kama mazuzu hata hawafuatilii kujua kama mtu huyu alikua analipa siku hizi yuko wapi? Ever since nimeacha kuajiriwa hata hawajui niko wapi.
10% ya bank reducing ni ndogo kuliko hiyo ya board. BTW ili ukopesheke lazima uwe na biashara au kazi yenye guarantee ya mshahara.Ofcoz mkuu.. Maana riba za bank nyingi ni 10% kila mwaka sijui soo ni balaaa... Loan boad wameweka 6..