bobycasablanca
Member
- Nov 25, 2013
- 56
- 9
Habari zenu kama kuna mtu anatafuta ajira na ana fahamu lugha ya kichina tafadhali anitumie sms kwenye email joe.sam99@yahoo.com
Ili niweze kumlink na watu wanaehitaji mkalimani
Yeye atakuwa anafanya kazi ya ukalimani na mshahara hautapungua dola 1000
Kama kweli unahitaji kazi na unafaham hio lugha tafadhali ni tafute kupitia hio email nikulink na hao watu wanaohitaji