Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Boss ingekuwa vizur zaid ungetupa moja mbili namna ya kuwekza kwenye cryptocurrency

Sent from my MAR-LX1M using JamiiForums mobile app
Cryptocurrency ni moja ya uwekezaji wenye faida sana kwa sasa ,,ukizingatia kuwa dunia inaelekea kwenye matumizi yake ,,so kwa muda huu wakati ndo inaanza kusambaa ni vyema zaidi kuwekeza huko ,,mfano wa cryptocurrency inayo julikana zaidi ni Bitcoin lkn ziko currency nyingi sana ,

Na ukitaka kuona faida yake ni kuwekeza kwenye platforms na platform ziko nyng lkn zenye maslahi ni chache ,,kujua zaidi ndgu yang njoo inbox nikupe no ya WhatsApp tuelekezane ni jinsi gani na wap pa kuwekeza hizi ndizo fulsa za kupeana vijana
 
Bi

Bitcoin hela zetu had wa Leo hamna kitu
 
Bi

Bitcoin hela zetu had wa Leo hamna kitu
Inategemea umewekeza wap bro,,,wengi wamezoea kuwekeza kwenye Bitcoin kwa kununua na kuitunza kwenye wallet kisha kuuza baadae ,,na kama unavyojua bongo utapeli kibao ukikutana na maajent wajanja wajanja ,,,ukitaka kuona faida ya crptocurrency ni kuwekeza ndani ya platform ambayo utanunua cryptocurrencies na kuziuza humohumo ambapo ndani ya platform kuna wallet na kila kitu ,,,na kuuza na kununua ni kwa uwazi na currency zipo nyngi
 
Bro wewe ushawekeza na unamiaka mingapi toka uwekeze .....
Make mm naongelea kitu ambacho nishafanya na nkaliwa na hela nlikua naiona kabsa ila mwisho wa siku hamna chchte ....
M9 bitcoin , bitcoin yenyewe hamna mambo kabsa
 
Uliwekeza ndani ya platform gani?
 
Me nilimpa wife mtaji mwingi sana wa kufanya biashara, akaanza kufanya biashara ya nguo biashara ikafa, akafanya biashara ya kununua nguo dar na kuzituma mikoani nayo ikafa,. Akaanza biashara ya kuuza viatu na pochi nayo ikafa.

Nikamfungulia biashara ya samaki butcher kabisa nayo ikasuasua mwishowe ikafa. Now kwa kutumia friza zilezile za samaki anafunga icecream na kuuza katika shule anauza asbh saa nne na na saa tisa jioni wakati wa kutoka nimemwachia mpaka gari kwa ajili ya biashara hiyo. Anakusanya mpaka elf 40 kwa siku na anaifurahia sana biashara yake coz ni stress free halipi kodi TRA wala vibali vya biashara.

Now tunampango wa kuongeza vijana kuwanunulia baiskeli na deli wasambaze kwenye shule. Unampa icecream 200 akiuza zote unampa 5000. Vijana wengi tuna feli sana kwa kuangalia watu wengine kuwa watatuonaje. Biashara ndogondogo zinalipa sana kama ukiipenda kazi yako na kuwa mvumilivu
 
M9 bitcoin pia wengine marafiki zangu waliwekeza kwenye bitcoin yenyewe ila baada ya mda mambo sio mambo kabsa
 
Back
Top Bottom