kuanzia 2003 nikiwa bado shule ya msingi niliweza kuujua ulimwengu wa internet kupitia internet cafe ya mjomba, ilikuwa biashara inayolipa vizuri enzi hizo, Enzi hizo kuunganishwa internet uwe na simu ya mezani ya ttcl kupitia nyaya za nguzo zao.
Hii ni mitandao iliyokuwa maarufu
1. JAMIIFORUMS- kwasasa jamii forums (niliujua 2007)
2. DAR HOT WIRE (ulikuwa mtandao kama instagram ya kujua habari za celebrities )
MITANDAO YA KUTAFUTA MARAFIKI NA WAPENZI
GANGWEMOBB - website ya kwanza kumilikiwa na wasanii, Gangwe Mobb ni kundi la Inspekta Haroun, kulikuwa na habari za Gangwemobb na wasanii wengine
ITV (kufatilia ratiba ya vipindi)
HOTMAIL EMAIL - sikuhizi kuna gmail.com enzi hizo iliyotamba ni hotmail.com, nakumbuka niliitengezea shule yangu ya msingi email, walimu walinipa respect 😂 wanafunzi wachache wa shule za sekondari waliacha kuandikiana barua walihamia email.
MINICLIP - watoto wenzangu wa enzi hizo wakija niliwafungulia huu mtandao, games kibao

- Darhotwire - haukuwa mtandao wa habari tu, hadi kuchati
- Darchat (baadae ikaitwa Marafiki.com)
- Yahoo Chat'
- Hi 5
- Mig 33