Kama unahitaji professional PowerPoint Presentation pita hapa

herman3

JF-Expert Member
Feb 7, 2015
284
500
Habarini ndugu,

What makes your presentation to capture the audience attention, is all about how you transform your data/content into smarter, professional and presentive slides. Na hii mara zote inatokana na matumizi sahihi ya picha michoro, rangi, size ya maandishi, matumizi sahihi ya transitions, kujua key contents kutoka kwenye data/contents unazotaka ku_present, matumizi sahihi ya graphs & charts n.k.

Sasa kama unahitaji kupata professional and a well designed PPT slides unaweza nitafuta nikakusaidia, nina experience yakutosha kwenye field ya data visualization and presentation.

ukihitaji sample ya kazi nilizofanya njoo PM au email hermanmwageni2010@gmail.com

1632772898974.png


1632772920630.png


1632772943741.png


1632773051329.png
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom