Kama Unahitaji mpishi wa bite nipo hapa.

Kama Unahitaji mpishi wa bite nipo hapa.

Anikajema

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
647
Reaction score
566
Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo, Mimi ni kijana mpambanaji maisha yamenipga balaa baada ya mambo kwenda ndivyo sivyo ...hivyo nahitaji kazi nipo Dodoma
.....Najua kutengeneza Bites,&snacks ,Nina uzoefu mkubwa
Pizza,burger,crunch wing's, visinia nk: nipo tayar kufanya kazi ata nje ya DODOMA,
Asanteni
 
Hukuweka hata namba, una uzoefu wa muda gani mzee?
 
Back
Top Bottom