Kama unahitaji iptv link za tz pitia hapa

Ukiwa na Google Chromecast with Google TV unaweza kupata hiyo App free?
 
Yeah iseach kama apk ila hapo utapata app tu ambayo haina chochote link mpaka nikupe mimi
 
naamini hiyo link hutoi bure na hizo channel zote za azam unazosema zipo kwenye hiyo link tunazilipia 28,000 kila mwezi..sasa hiyo link yako tunakulipa shilingi ngapi.? vp azam wenyewe hawawezi kukushtaki kwa kuwakosesha/kuchepusha mapato kwa ww binafsi kufaidika kupitia channel zao.!
 
Huyu jamaa namjua vyema, ashatapeli wengi sana huko whatsapp, hakuna hata channel moja inayo onyesha. Ninayo hiyo link anayodai ya iptv, alimuuzia jamaa elfu 3 ila hakuna inayo onyesha. Utapeli mtupu.
 
naamini hiyo link hutoi bure na hizo channel zote za azam unazosema zipo kwenye hiyo link tunazilipia 28,000 kila mwezi..sasa hiyo link yako tunakulipa shilingi ngapi.? vp azam wenyewe hawawezi kukushtaki kwa kuwakosesha/kuchepusha mapato kwa ww binafsi kufaidika kupitia channel zao.!

We muache aingie kingi.
 
Haya ndugu mleta sredi weka namba hapa na social media zako tukutumie maokoto ya linki!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom