Kama unahitaji chumba maeneo haya, wasiliana nami

Kama unahitaji chumba maeneo haya, wasiliana nami

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,593
Kama unahitaji chumba maeneo tajwa hapa chini nichek nikusaidie,ila masharti na vigezo kuzingatiwa.

Kwanza dalali anakula 10,000/= kwa kukuomyesha vyumba na kabla ya kukupeleka advance 3000/=akishakuonyesha unammalizia 7000/=.

Ukishakubaliana na chumba ulichoonyeshwa dalali anakura kodi ya mwezi mmoja kama ilivyo ada bila longo longo,mfano kama chumba uichoonyeshwa kodi kwa mwezi 50,000/= dalali yake 50,000/=.

Maeneo ni.
1.Makoka,Ubungo kibangu,Riverside ,Ubungo maji,Mabibo hostel, Mawasiliano,Kibo,Korogwe,Msewe
2..Kimara,Mbezi
3.Temeke,Keko ,Chang'ombe,Taifa,Mbagala
4.Kigamboni
5.Mikocheni
6.Kawe.Tegeta,Mbezi

Pia tunatoa na Huduma kama
1.Kuamisha vyombo kwa gharama nafuu na usalama pindi mtu anapoama au kuamia makazi mapya

2.Huduma ya usafi kabla ya kuama au kuamia makazi mapya
3.Huduma ya kupulizia dawa kuua wadudu warukao na watambaao kama mende ,kunguni n.k (fumigation).
Mawasiliano
sales@iconnectgroup.co.tz
Instagram: iconnectpropertytz
Facebook: iconnectpropertytz
We are here to save you
 
Bora ingekuwa 60. Majanja haya, anakupeleka vyumba 7 ambavyo anajua wala hutavikubali cha nane ndio utakikubali. So anakula 80 kukuonesha machumba chumba alafu ukikikubali cha nane anakula 50 ya mwezi, so jumla 130
Akikufanyia hivyo we ndo boya,

ukimpa ile 10 hakikisha umempa condition za nyumba unayotaka

Na hiyo hiyo 10 atanipeleka pote simpi hata 100 tena
 
Madalali hawana tofauti na wapiga debe wa mabasi ya mikoani pale ubungo! Ni kero!
Madalali wapo kila kona hata ulaya ,ww unadhani bila madalali dunia ingekombolewa maana ili dunia ikombolewe ilipasa Masiya asulubiwe na wayaudi walikuwa wanamuogopa Masiya hapo ndipo Yuda Eskariyoti alipopiga udalali akafanikisha mchongo wa kuukomboa ulimwengu.

Mino Raiola wakala wa CR7 hata danadana kupiga hawezi lakini kila Ronaldo anapouzwa toka timu moja kwenda nyingine yeye anavuta mpunga 30% .

Kwa hiyo hata wewe nawe unapohama lazima wenyeji wanufaike na ujio wako katika mtaa husika .
 
Kama unahitaji chumba maeneo tajwa hapa chini nichek nikusaidie,ila masharti na vigezo kuzingatiwa.

Kwanza dalali anakula 10,000/= kwa kukuomyesha vyumba na kabla ya kukupeleka advance 3000/=akishakuonyesha unammalizia 7000/=.

Ukishakubaliana na chumba ulichoonyeshwa dalali anakura kodi ya mwezi mmoja kama ilivyo ada bila longo longo,mfano kama chumba uichoonyeshwa kodi kwa mwezi 50,000/= dalali yake 50,000/=.

Maeneo ni.
1.Makoka,Ubungo kibangu,Riverside ,Ubungo maji,Mabibo hostel, Mawasiliano,Kibo.
2..Kimara,Mbezi
3.Temeke,Keko
4.Kigamboni
5.Mikocheni
Mi nataka mkocheni,Bei gani Chumba kwanza kabla hatujaanza biashara
 
Mi nataka mkocheni,Bei gani Chumba kwanza kabla hatujaanza biashara
Kuna chumba single 70,000/= kikubwa 15ft kwa 10ft ,kipo cha 35,000/= vyote single .
Nipe vigezo vya chumba unachoitaji na budget yko nifanye kazi fasta ndani ya 24 kama upo serious unahamia.
 
Back
Top Bottom