Kama Unafundisha SPSS, STATA, EPI INFO NA ENVIVO

Kama Unafundisha SPSS, STATA, EPI INFO NA ENVIVO

msani

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
1,800
Reaction score
1,194
Ninataka kujifunza hizo programme. Kama unafundisha tuwasiliane au kama kuna sehemu wanafundisha hizo programme naomba mnielekeze please. Natamani kuongeza maarifa.
 
Mimi naweza kufundisha SPSS na STATA..more info..tuwasiliane via my e-mail
mwinyi88@hot mail.com
 
Pia unaweza kuingia website ya udsm wanatoa iyo kama short courses
 
Nadhani ungechagua moja ila Stata taaamu...... au kama vipi piga kitu cha R kabisa achana na hizo zingine
 
Back
Top Bottom