SirAlfred006
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 509
- 1,207
Basi wewe ni mhenga.
Hivi nimetumia 2011Basi wewe ni mhenga. View attachment 2018155
. Nilikuwa na baiskeli yangu Avon, ilikuwa ina taa kali sanaBasi wewe ni mhenga. View attachment 2018155
Wakati nikiwa mdogo nilifanya innovation ya ajabu wakati huo huko kijijini kwetu, niliokota hiyo dainamo nikatengeneza mabati fulani mithili ya mapanga boi nikaunganisha na hiyo dainamo nikaitega kwenye upepo, nikaunga na waya mpaka ndani nikaweka glopu moja sebleni nyingine nje. Ikawa upepo unazungusha lile pangaboi taa zinawaka. Basi mpaka mwenyekiti wa kijiji akaja nyumbani kushangaa umeme na kusema ataniombea nikasome shule ya ufundi.
Huwezi kuamini saa hizi nafuga kuku, kipaji changu kimeenda na maji.