Kama unadhani Rais Magufuli ’amechokwa‘ umekosea, bali Kenyatta na Museveni ndiyo ‘wamekinaiwa‘ kabisa!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,922
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa ambapo nimejaribu kupitia Tweeter Accounts za Marais wawili wa Afrika ya Mashariki Uhuru Kenyatta wa Kenya na Yoweri Museveni wa Uganda nikagundua ya kwamba kumbe wakati watu wanadhani Rais wetu Dr. John Magufuli ndiyo ‘ anachukiwa ‘ basi kumbe yawezekana akawa ndiyo anapendwa na kukubalika na Watanzania na hasa Raia wa Kenya na Uganda.

Baada ya Marais wote hawa Wawili Uhuru na Yoweri kutoa salamu zao za rambirambi kwa Ajali mbaya ya Kivuko cha MV Nyerere kupitia Tweeter Accounts zao zifuatazo ni sehemu tu ya ‘ comments ‘ za Wachangiaji na naziweka hapa bila kuongeza wala kupunguza nilichokiona

Tweeter Account ya Rais Uhuru Kenyatta na alivyojibiwa na Wakenya wake baada ya kutoa salamu zake za rambirambi Tanzania….

Go to hell despite this Ferry disaster in Tanzania but at least their President is doing a great Job comparing to you who’s a typical thief and a crook

Stop being a hypocrite you’re pretending to send your condolences to Tanzania while you’re Killing us with a high cost of living in Kenya

We want to exchange you with President Magufuli just for 72 hours so that We can also enjoy what Tanzanias are enjoying for his good Leadership

Tweeter Account ya Rais Yoweri Museveni na alivyojibiwa na Waganda wake baada ya kutoa salamu zake za rambirambi Tanzania….

Before sending your condolences to Tanzanians already our President Dkt. Kiiza Besigye did it 12 hours ago so don’t waste our time please

When shall We also send our condolences to your death because We are actually tired of you Killer

I wish you were also there so that those fellow Tanzanians survive and hear the news that you’re the only person who passed away and possibly be eaten by Crocodiles

Rais Dr. Magufuli asikudanganye Mtu ‘ piga Kazi ‘ kwani unakubalika sana na Wananchi wa Afrika ya Mashariki kuliko hata unavyodhani na naamini hata hawa Watanzania ambao wanajifanya ‘ Kukukosoa ‘ Wewe binafsi na ‘ Utawala ‘ wako huu wa Awamu hii ya Tano / Gwala ‘ kimoyomoyo ‘ wanakukubali na wanakupenda kuliko unavyodhani.

Mwisho kama Mtanzania, Mnyarwanda na Mwana Afrika ya Mashariki napenda kutoa salamu za pole kabisa kwa Watanzania wote na hasa Familia za wale wote ambao wamepoteza Ndugu zao na Wapendwa wao wapatao 127 kwa mujibu wa takwimu sahihi mpaka sasa. Mwenyezi Mungu awapeni nguvu na awatieni moyo hasa katika Kipindi hiki Kigumu sana na tuwaombee Marehemu wote kwa Mwenyezi Mungu.

Nawasilisha.
 
Mkuu kwani kuna mtu anamchukia Magu basi?

Ni nyumbu tu wa pale ufipani ndio hujifanya kumchukia Magu, na kama ujuavyo nyumbu hukaa mbugani
 
Mkuu hizo twitter ziko chache hivyo kwenye hizo account? Hao wenzake wana awamu zaidi ya moja kwenye uongozi wao, hivyo wamefahamika vyema tabia zao, yeye ndio yuko kwenye awamu yake ya kwanza lakini tayari walakini uko wazi. Ile idadi ndogo ya wapiga kura iliyojitokeza juzi ni somo tosha la kukubalika kwake hata kama walipika idadi ya wapiga kura ili kuondoa aibu. Hukatiliwi kumsifia maana ndio demokrasia, lakini sisi wengine hatuna tabia ya kusifia waharibu demokrasia hata wafanye nini.
 
Mimi sio wa huko ufipani ila I hate the guy to the maximum

Ila hujawafikia Wakenya na Waganda kwa jinsi wanavyowachukia Marais wao hao. Na ukiona Mtu leo hii anamchukia sana Rais Dr. Magufuli jua ya kwamba 100% ya mirija yake ya Upigaji / Ufisadi imezibwa ' Kunakotukuka ' kabisa na sasa anapamba tu na hali yake huku akipata taabu sana.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa ambapo nimejaribu kupitia Tweeter Accounts za Marais wawili wa Afrika ya Mashariki Uhuru Kenyatta wa Kenya na Yoweri Museveni wa Uganda nikagundua ya kwamba kumbe wakati watu wanadhani Rais wetu Dr. John Magufuli ndiyo ‘ anachukiwa ‘ basi kumbe yawezekana akawa ndiyo anapendwa na kukubalika na Watanzania na hasa Raia wa Kenya na Uganda.

Baada ya Marais wote hawa Wawili Uhuru na Yoweri kutoa salamu zao za rambirambi kwa Ajali mbaya ya Kivuko cha MV Nyerere kupitia Tweeter Accounts zao zifuatazo ni sehemu tu ya ‘ comments ‘ za Wachangiaji na naziweka hapa bila kuongeza wala kupunguza nilichokiona

Tweeter Account ya Rais Uhuru Kenyatta na alivyojibiwa na Wakenya wake baada ya kutoa salamu zake za rambirambi Tanzania….

Go to hell despite this Ferry disaster in Tanzania but at least their President is doing a great Job comparing to you who’s a typical thief and a crook

Stop being a hypocrite you’re pretending to send your condolences to Tanzania while you’re Killing us with a high cost of living in Kenya

We want to exchange you with President Magufuli just for 72 hours so that We can also enjoy what Tanzanias are enjoying for his good Leadership

Tweeter Account ya Rais Yoweri Museveni na alivyojibiwa na Waganda wake baada ya kutoa salamu zake za rambirambi Tanzania….

Before sending your condolences to Tanzanians already our President Dkt. Kiiza Besigye did it 12 hours ago so don’t waste our time please

When shall We also send our condolences to your death because We are actually tired of you Killer

I wish you were also there so that those fellow Tanzanians survive and hear the news that you’re the only person who passed away and possibly be eaten by Crocodiles

Rais Dr. Magufuli asikudanganye Mtu ‘ piga Kazi ‘ kwani unakubalika sana na Wananchi wa Afrika ya Mashariki kuliko hata unavyodhani na naamini hata hawa Watanzania ambao wanajifanya ‘ Kukukosoa ‘ Wewe binafsi na ‘ Utawala ‘ wako huu wa Awamu hii ya Tano / Gwala ‘ kimoyomoyo ‘ wanakukubali na wanakupenda kuliko unavyodhani.

Mwisho kama Mtanzania, Mnyarwanda na Mwana Afrika ya Mashariki napenda kutoa salamu za pole kabisa kwa Watanzania wote na hasa Familia za wale wote ambao wamepoteza Ndugu zao na Wapendwa wao wapatao 127 kwa mujibu wa takwimu sahihi mpaka sasa. Mwenyezi Mungu awapeni nguvu na awatieni moyo hasa katika Kipindi hiki Kigumu sana na tuwaombee Marehemu wote kwa Mwenyezi Mungu.

Nawasilisha.
Hawa wanauhuru wakusema huku kwetu useme hivyo nn kinafata angeachia kauhuru kakusema kama hivyo ndo tungekuwa na jibu sahihi...
 
Kwanza unalinganisha jioni na asubuhi? JPM ni asubuhi na hao wengine ni jioni wana miaka lukuki madarakani lazima wachokwe zaidi
Pia kuna baadhi ya tweet za Magufuli Raia wamefunguka utakimbia hivyo hicho siyo kigezo cha kuchokwa.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa ambapo nimejaribu kupitia Tweeter Accounts za Marais wawili wa Afrika ya Mashariki Uhuru Kenyatta wa Kenya na Yoweri Museveni wa Uganda nikagundua ya kwamba kumbe wakati watu wanadhani Rais wetu Dr. John Magufuli ndiyo ‘ anachukiwa ‘ basi kumbe yawezekana akawa ndiyo anapendwa na kukubalika na Watanzania na hasa Raia wa Kenya na Uganda.

Baada ya Marais wote hawa Wawili Uhuru na Yoweri kutoa salamu zao za rambirambi kwa Ajali mbaya ya Kivuko cha MV Nyerere kupitia Tweeter Accounts zao zifuatazo ni sehemu tu ya ‘ comments ‘ za Wachangiaji na naziweka hapa bila kuongeza wala kupunguza nilichokiona

Tweeter Account ya Rais Uhuru Kenyatta na alivyojibiwa na Wakenya wake baada ya kutoa salamu zake za rambirambi Tanzania….

Go to hell despite this Ferry disaster in Tanzania but at least their President is doing a great Job comparing to you who’s a typical thief and a crook

Stop being a hypocrite you’re pretending to send your condolences to Tanzania while you’re Killing us with a high cost of living in Kenya

We want to exchange you with President Magufuli just for 72 hours so that We can also enjoy what Tanzanias are enjoying for his good Leadership

Tweeter Account ya Rais Yoweri Museveni na alivyojibiwa na Waganda wake baada ya kutoa salamu zake za rambirambi Tanzania….

Before sending your condolences to Tanzanians already our President Dkt. Kiiza Besigye did it 12 hours ago so don’t waste our time please

When shall We also send our condolences to your death because We are actually tired of you Killer

I wish you were also there so that those fellow Tanzanians survive and hear the news that you’re the only person who passed away and possibly be eaten by Crocodiles

Rais Dr. Magufuli asikudanganye Mtu ‘ piga Kazi ‘ kwani unakubalika sana na Wananchi wa Afrika ya Mashariki kuliko hata unavyodhani na naamini hata hawa Watanzania ambao wanajifanya ‘ Kukukosoa ‘ Wewe binafsi na ‘ Utawala ‘ wako huu wa Awamu hii ya Tano / Gwala ‘ kimoyomoyo ‘ wanakukubali na wanakupenda kuliko unavyodhani.

Mwisho kama Mtanzania, Mnyarwanda na Mwana Afrika ya Mashariki napenda kutoa salamu za pole kabisa kwa Watanzania wote na hasa Familia za wale wote ambao wamepoteza Ndugu zao na Wapendwa wao wapatao 127 kwa mujibu wa takwimu sahihi mpaka sasa. Mwenyezi Mungu awapeni nguvu na awatieni moyo hasa katika Kipindi hiki Kigumu sana na tuwaombee Marehemu wote kwa Mwenyezi Mungu.

Nawasilisha.
Hayo ni maoni yao grounded on hearsay feelings about Magufuli.Ideally,they're right but imperically they're absolutely wrong!!!You should be aware that the fifth government has invested heavily in propaganda!!!Advertisements!!!
 
Unatakiwa ujue kwamba hao wawili wametawala kwa miaka zaidi ya saba watu hawaoni ahadi zikitimizwa kwa hiyo watu wanakuwa wamechoka. Hata Magufuli akifika 2023 au 2024 lazima awe amechokwa halafu watu wakiona hakuna alichofanya saizi watu wana matumaini kidogo kwamba muda upo huenda mambo yakakaa fresh

Katika ' Logical Thinking ' huwa hatuna ' Kukisia ' kwa kusema kwamba hata Magufuli akifika mwaka 2023 au 2024 atachokwa kama Wenzake. Wewe umeshafika hiyo miaka kisha ukaiona kabla yetu na kabla hatujaifikia hadi uje na kutaka ' Kutuaminisha ' kuwa atachukiwa? Hivi huku Vyuo Vikuu huwa mnaenda kufanya nini kama bado tu ' arguments ' zenu hazitofautiani na wale ambao hawakufika huko?
 
Ila hujawafikia Wakenya na Waganda kwa jinsi wanavyowachukia Marais wao hao. Na ukiona Mtu leo hii anamchukia sana Rais Dr. Magufuli jua ya kwamba 100% ya mirija yake ya Upigaji / Ufisadi imezibwa ' Kunakotukuka ' kabisa na sasa anapamba tu na hali yake huku akipata taabu sana.
Hayo ni maoni yako !

Mimi sikai huko uzombini , ila kwasababu ni nyumbani what I see ni hakuna Sera ya kitaifa kinachofanyika ni kujiamulia kila kitu mwenyewe ni kama mtu anaendesha familia yake tena
 
Hayo ni maoni yao grounded on hearsay feelings about Magufuli.Ideally,they're right but imperically they're absolutely wrong!!!You should be aware that the fifth government has invested heavily in propaganda!!!Advertisements!!!

Kwani ungeandika tu kwa Kiswahili bado nisingejua kama nawe umebahatika Kuukimbia Umande?
 
Katika ' Logical Thinking ' huwa hatuna ' Kukisia ' kwa kusema kwamba hata Magufuli akifika mwaka 2023 au 2024 atachokwa kama Wenzake. Wewe umeshafika hiyo miaka kisha ukaiona kabla yetu na kabla hatujaifikia hadi uje na kutaka ' Kutuaminisha ' kuwa atachukiwa? Hivi huku Vyuo Vikuu huwa mnaenda kufanya nini kama bado tu ' arguments ' zenu hazitofautiani na wale ambao hawakufika huko?
Hapa penyewe ashachokwa usiandikie mate hebu pitia baadhi ya tweet za nyuma za Magufuli uone watu walivyofunguka halafu urudi hapa.

Logic yangu ipo wazi kadri kiongozi anavyokaa madarakani ndivyo anavyozidi kuchokwa maana madhaifu yake mengi yanakuwa exposed
 
Je huko uhuru wa kwenye mitandao ukoje kulinganisha na Tanzania kiasi kwamba mtu yuko free kueleze mawazo yake?
 
Back
Top Bottom