Kama unadhani Rais Magufuli ’amechokwa‘ umekosea, bali Kenyatta na Museveni ndiyo ‘wamekinaiwa‘ kabisa!

Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa ambapo nimejaribu kupitia Tweeter Accounts za Marais wawili wa Afrika ya Mashariki Uhuru Kenyatta wa Kenya na Yoweri Museveni wa Uganda nikagundua ya kwamba kumbe wakati watu wanadhani Rais wetu Dr. John Magufuli ndiyo ‘ anachukiwa ‘ basi kumbe yawezekana akawa ndiyo anapendwa na kukubalika na Watanzania na hasa Raia wa Kenya na Uganda.

Baada ya Marais wote hawa Wawili Uhuru na Yoweri kutoa salamu zao za rambirambi kwa Ajali mbaya ya Kivuko cha MV Nyerere kupitia Tweeter Accounts zao zifuatazo ni sehemu tu ya ‘ comments ‘ za Wachangiaji na naziweka hapa bila kuongeza wala kupunguza nilichokiona

Tweeter Account ya Rais Uhuru Kenyatta na alivyojibiwa na Wakenya wake baada ya kutoa salamu zake za rambirambi Tanzania….

Go to hell despite this Ferry disaster in Tanzania but at least their President is doing a great Job comparing to you who’s a typical thief and a crook

Stop being a hypocrite you’re pretending to send your condolences to Tanzania while you’re Killing us with a high cost of living in Kenya

We want to exchange you with President Magufuli just for 72 hours so that We can also enjoy what Tanzanias are enjoying for his good Leadership

Tweeter Account ya Rais Yoweri Museveni na alivyojibiwa na Waganda wake baada ya kutoa salamu zake za rambirambi Tanzania….

Before sending your condolences to Tanzanians already our President Dkt. Kiiza Besigye did it 12 hours ago so don’t waste our time please

When shall We also send our condolences to your death because We are actually tired of you Killer

I wish you were also there so that those fellow Tanzanians survive and hear the news that you’re the only person who passed away and possibly be eaten by Crocodiles

Rais Dr. Magufuli asikudanganye Mtu ‘ piga Kazi ‘ kwani unakubalika sana na Wananchi wa Afrika ya Mashariki kuliko hata unavyodhani na naamini hata hawa Watanzania ambao wanajifanya ‘ Kukukosoa ‘ Wewe binafsi na ‘ Utawala ‘ wako huu wa Awamu hii ya Tano / Gwala ‘ kimoyomoyo ‘ wanakukubali na wanakupenda kuliko unavyodhani.

Mwisho kama Mtanzania, Mnyarwanda na Mwana Afrika ya Mashariki napenda kutoa salamu za pole kabisa kwa Watanzania wote na hasa Familia za wale wote ambao wamepoteza Ndugu zao na Wapendwa wao wapatao 127 kwa mujibu wa takwimu sahihi mpaka sasa. Mwenyezi Mungu awapeni nguvu na awatieni moyo hasa katika Kipindi hiki Kigumu sana na tuwaombee Marehemu wote kwa Mwenyezi Mungu.

Nawasilisha.
Sasa wewe jichanganye uweke comments za namna hiyo kwenye ukurasa wa dikteta wetu uone kitakachokukuta.

Utatafutwa na watu wasiojulikana mpaka utapatikana.
 
Kwa Mhe. Kenyatta wa Kenya, umenukuu watu 3 na Kwa Mhe. Kaguta Mseveni wa Uganda umenukuu watu watatu, wanaomsifu rais wetu, ambalo ni jambo jema kabisa tunatakiwa tujivunie lakini hiki kitanda hawajakilalia hawawezi kujua kuknguni wake. Pamoja na sifa nzuri alizonazo rais wetu tunatakiwa kumshauri atende aliyomema zaidi, aache kubeza, kunyanayasa, kuumiza na kunyamazisha upinzani. Tumwambie upinzani sio tatizo la watanzania, sio maadui wa watanzania na hakika ni sehemu ya watanzania.
Sisi watanzania tuliowengi tunamuona Rais Uhuru Kenyatta kama kiongozi msikivu, anayeshaurika na anayeweza kutafuta mwafaka kwa ajili ya amani ya kweli ya taifa lake. Wetu sio!!! Lakini hatuwezi kuwasemea wakenya kwa maana hicho kitanda hatujakilalia.
 
Yes, because your mind set is stil primitive and nothing else. Bado uko kwenye mapango ya Ol Doinyo Lengai!

Na watu kama nyinyi ni mzigo kwa taifa kwa maana hamwelewi nini maana ya development. Mnammpa shida sana Rais wetu kuwa kwamua hapo mlipo ili kulifanya taifa letu lika move foward kimaendeleo. Nyie sio watu wa kufunguka mawazo tena. Mmesha kufa mmebaki kuzikwa tu, Mazombi nyie.

Your STUPIDITY IS APPROVED.
 
Mkuu hii dual citizen ya Tanzania na rwanda umeipataje pataje,maana miaka sasa sie wengine tunashindwa kuupata!?
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa ambapo nimejaribu kupitia Tweeter Accounts za Marais wawili wa Afrika ya Mashariki Uhuru Kenyatta wa Kenya na Yoweri Museveni wa Uganda nikagundua ya kwamba kumbe wakati watu wanadhani Rais wetu Dr. John Magufuli ndiyo ‘ anachukiwa ‘ basi kumbe yawezekana akawa ndiyo anapendwa na kukubalika na Watanzania na hasa Raia wa Kenya na Uganda.

Baada ya Marais wote hawa Wawili Uhuru na Yoweri kutoa salamu zao za rambirambi kwa Ajali mbaya ya Kivuko cha MV Nyerere kupitia Tweeter Accounts zao zifuatazo ni sehemu tu ya ‘ comments ‘ za Wachangiaji na naziweka hapa bila kuongeza wala kupunguza nilichokiona

Tweeter Account ya Rais Uhuru Kenyatta na alivyojibiwa na Wakenya wake baada ya kutoa salamu zake za rambirambi Tanzania….

Go to hell despite this Ferry disaster in Tanzania but at least their President is doing a great Job comparing to you who’s a typical thief and a crook

Stop being a hypocrite you’re pretending to send your condolences to Tanzania while you’re Killing us with a high cost of living in Kenya

We want to exchange you with President Magufuli just for 72 hours so that We can also enjoy what Tanzanias are enjoying for his good Leadership

Tweeter Account ya Rais Yoweri Museveni na alivyojibiwa na Waganda wake baada ya kutoa salamu zake za rambirambi Tanzania….

Before sending your condolences to Tanzanians already our President Dkt. Kiiza Besigye did it 12 hours ago so don’t waste our time please

When shall We also send our condolences to your death because We are actually tired of you Killer

I wish you were also there so that those fellow Tanzanians survive and hear the news that you’re the only person who passed away and possibly be eaten by Crocodiles

Rais Dr. Magufuli asikudanganye Mtu ‘ piga Kazi ‘ kwani unakubalika sana na Wananchi wa Afrika ya Mashariki kuliko hata unavyodhani na naamini hata hawa Watanzania ambao wanajifanya ‘ Kukukosoa ‘ Wewe binafsi na ‘ Utawala ‘ wako huu wa Awamu hii ya Tano / Gwala ‘ kimoyomoyo ‘ wanakukubali na wanakupenda kuliko unavyodhani.

Mwisho kama Mtanzania, Mnyarwanda na Mwana Afrika ya Mashariki napenda kutoa salamu za pole kabisa kwa Watanzania wote na hasa Familia za wale wote ambao wamepoteza Ndugu zao na Wapendwa wao wapatao 127 kwa mujibu wa takwimu sahihi mpaka sasa. Mwenyezi Mungu awapeni nguvu na awatieni moyo hasa katika Kipindi hiki Kigumu sana na tuwaombee Marehemu wote kwa Mwenyezi Mungu.

Nawasilisha.
 
Your STUPIDITY IS APPROVED.
Sio kosa lako bali ni frustrations tu za maisha uliyo nayo. Hainishangazi na wala hainiumizi kutusiwa, ila ukweli una uma unapokusuta. Mtu akikosa mafanikio kwa sababu ya uzembe wake mwenyewe ana jaribu kutafuta lawama kwa wengine.

Mimi sio Mungu wako na wala Magufuli sio pia, ukae ukijua. Msingi ya malezi uliyopata kutoka kwa wazazi wako ndiyo inakusumbua na kukufanya uwe desparate.

Kwa kukupa moyo tu, kaa chini na jitatmin kwa nini unafanya vioja visivyo na maana kwenye karne 21? Nafikiri utapata jibu la kukusaidia badala ya kukaa kuwazomea na kuwatukana binadam wenzako ambao hawahusiki na kushindwa au kufanikiwa kwako.

Jitahidi usiingie kaburini mapema kabla hata huja yaona maisha. Maisha ni matam sana ukiyaheshimu na kufuata principles zake.

Nakuombea kwa mungu kuwa na ujasiri wa kupambana na maisha kwa msingi ya kibinadam wa leo. Usikate tamaa. Ulimwengu unakuhitaji. Kaa macho juu!

Ni wito wangu!
 
Utafiti niliufanya katika ' Makalio ' yako yaliyokomaa kama Uso wa Ngedere.
we jamaa kila ukijitutumua unapewa za uso hahahhaha we hujielewi, uelewa wako uko chini sana

unacho jua/ulicho barikiwa ni maneno ya kishangingi na kikahaba tu. uwezo wako wa kufikiri uko chini sana mpaka nawaza ukipewa teuzi si utasitisha uokoaji kwa ajili ya giza kama mwenzio
 
Back
Top Bottom