Hafu hujala + umeme hamnana jua huku kitaa ni kali sana
Vipofu wawili wakimgusa tembo, mwingine atasema tembo ni mkubwa kama ungo,kumbe aligusa sikio!mwingine atasema tembo ni mkubwa mrefu kama chatu kumbe alishika mkonga!Wasalamu.
Katika ulimwengu wa leo hakuna mapenzi ya dhati kama zamani miaka ya 1980 kurudi nyuma...
Hahahahaha...hata wale wanaopendana Humu JF ?Wasalamu.
Katika ulimwengu wa leo hakuna mapenzi ya dhati kama zamani miaka ya 1980 kurudi nyuma.
Ukienda kutambulishwa ukweni Cha kwanza wanauliza anafanya kazi gani...
Tena aheri mjini,vijijini ndio kumeoza mana mnashea,demu mkali kagongwa na Kijiji chote
Maamaeee! Kijiji gani hiko sasahivi!? Mtu unamuuliza unanipenda anacheka.... Hunipendi anacheka.... Kesho njoo gheto anacheka... Au hautafika?.... Anacheka then anataka hela ale konaIla mapenzi ya Kweli bado yapo Sana.
Kama unabisha nenda huko vijijini ukajionee
nawaza huyu kipofu alionaje huo ungo akaujua, ama huyo chatuVipofu wawili wakimgusa tembo, mwingine atasema tembo ni mkubwa kama ungo,kumbe aligusa sikio!mwingine atasema tembo ni mkubwa mrefu kama chatu kumbe alishika mkonga!it's a personal perspective from where ur sitting, wakati wengine wanauana kwenye ndoa,na wengine kutapeliana na mwisho kutengsna, wengine wamedumu mpaka kifo!Edward lowasa na Regina, Nyerere na maria, Samuel Sita, nk, Wengine kama Davis Mosha, Mengi,walitengqna mapema,
Sasa wewe ukibamizwa na mapenzi kwa, ujinga wako, usifikilie na wengine wanabamizwa hivyo!