Karibu mjini 😂😂😂Mapenzi ya Tanzania yapo kimaslahi zaidi, mwanaume unapendwa kwa kile ulicho nacho. Wanaume tutafute pesa usiku na mchana. Mwanaume asiye na pesa mapenzi ya dhati atayapata kwa mama yake.
Hii big NO nimekataa 😂Mapenzi ya Tanzania yapo kimaslahi zaidi, mwanaume unapendwa kwa kile ulicho nacho. Wanaume tutafute pesa usiku na mchana. Mwanaume asiye na pesa mapenzi ya dhati atayapata kwa mama yake.
Unachokataa nini 🥸Hii big NO nimekataa 😂
🤣Na wanaume tukishazipata hatufanyi makosa,
Bwana weee, nipo gehto hapa sina hata mia na hakuna mapenzi. Ningekuwa na hela najuwa na leo weekend ningekuwa nimeisha bebii leo wapi... hela mwana haramu 🤣🤣Ni kufumua marinda tuu🤣🤣🤣🤣
Acha tu ndugu yangu, na kuchart Jf kama mod vile kila thread upo 🤣🤣🤣 ila kama ningekuwa na mzigo hapa mahaba kama yote 😁😁😁 vizabibu pembeni vikaranga ila sasa dah navimba macho tu hapaUna kun tuu.🤣🤣🤣🤣
Kabisa tumekuwa ka moderator, kila thread unatia comment🤣🤣🤣acha tu ndugu yangu, na kuchart Jf kama mod vile kila thread upo 🤣🤣🤣 ila kama ningekuwa na mzigo hapa mahaba kama yote 😁😁😁 vizabibu pembeni vikaranga ila sasa dah navimba macho tu hapa
Ila wanaume mna maneno sikuhiz kha😂Unachokataa nini 🥸
Mapenzi ya Tanzania yapo kimaslahi zaidi, mwanaume unapendwa kwa kile ulicho nacho. Wanaume tutafute pesa usiku na mchana. Mwanaume asiye na pesa mapenzi ya dhati atayapata kwa mama yake.
😁😁😁😁 Jf inaokoa sana, kidogo hapa unajipa nguvu unapokutana na wadau ambao mmepigika mnapiga mastory tu ... hapa kuna manzi hapa inajua sina hata cha ten, haiwezi sogeza pua hata kidogo maana inajua kesho itaondoka bila posho.. acha niendelee kukwaruza kengele zangu hadi unga uisheKabisa tumekuwa ka moderator, kila thread unatia comment🤣🤣🤣
Tungekuwa na hela mbona sasa ulishalika warembo kwenye aprtment, pombe, vilainishi ulishaviweka standby....hapo kinachosubiriwa na warembo kulewannankuanza kicheza na de libolo.
Unafikiri bila hela unampa mtu ? kwanza hata miadi ya kuyajenga pesa.. pesa ni kila kitu acha tukune tu kengele zetuIla wanaume mna maneno sikuhiz kha😂