Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,263
- 49,203
😂😂Nishapita hapo mda Niko mbali sana😁😁😁 nipo magomeni dada ake nipe location
😂😂Nishapita hapo mda Niko mbali sana😁😁😁 nipo magomeni dada ake nipe location
Kama huna hela hata kuulizwa beibi mchana umekula nini haipo 😁😁😁 mtu anajua umeshinda njaa tu😂😂Nishapita hapo mda Niko mbali sana
Uongo uliotukuka🤣🤣🤣🤣
Bado umelala wenzio hatutafuti pesa kwa ajiri ya mademu tunatafuta pesa kwa ajiri ya kuboreshamaisha yetu ili mademu watamani waombe lift kwenye maisha yetuMapenzi ya Tanzania yapo kimaslahi zaidi, mwanaume unapendwa kwa kile ulicho nacho. Wanaume tutafute pesa usiku na mchana. Mwanaume asiye na pesa mapenzi ya dhati atayapata kwa mama yake.
Sasa end goal ni nini hapo km si pussy?Bado umelala wenzio hatutafuti pesa kwa ajiri ya mademu tunatafuta pesa kwa ajiri ya kuboreshamaisha yetu ili mademu watamani waombe lift kwenye maisha yetu
Kweli hatutafuti kuoendwa tunatafuta kugegeda tuuNa Kama unatafuta pesa ili upendwe basi ndio Kabisa akili za mtu huyo hajitambui.
Kupendwa ni natural, ukiona mtu anakipendea pesa jua hakupendi isipokuwa pesa zako.
Mwanaume anatafuta pesa Kwa sababu ni jukumu lake kutunza familia na jamii ili aheshimike.
Mwanaume hapendwi na kamwe hatafutwi kupendwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uongo uliotukuka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo hiyo buku tumieni wote [emoji28]Nyakati hazinlingani kuna kipindi una 50 million kuna kipindi una buku tano tu ya kula [emoji16][emoji16]
Sina pesa na kuna binti anajua fika kwamba sina pesa ila ndio kaning'ang'ania kweli kweli. Je,ananipenda?. Na kama ananipenda,kanipendea nini?Mapenzi ya Tanzania yapo kimaslahi zaidi, mwanaume unapendwa kwa kile ulicho nacho. Wanaume tutafute pesa usiku na mchana. Mwanaume asiye na pesa mapenzi ya dhati atayapata kwa mama yake.
Hata ukizipata nyingi zsidi ni shida zaidi.Mapenzi ya Tanzania yapo kimaslahi zaidi, mwanaume unapendwa kwa kile ulicho nacho. Wanaume tutafute pesa usiku na mchana. Mwanaume asiye na pesa mapenzi ya dhati atayapata kwa mama yake.
Umesema ni binti sio?Sina pesa na kuna binti anajua fika kwamba sina pesa ila ndio kaning'ang'ania kweli kweli. Je,ananipenda?. Na kama ananipenda,kanipendea nini?