kama una vigezo vyote vya kuwa Mume Bora. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kama una vigezo vyote vya kuwa Mume Bora.

Discussion in 'Love Connect' started by AmKATRINA, Jul 27, 2012.

 1. AmKATRINA

  AmKATRINA JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 375
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Am Tinnah Mozes Shehoza also known as 'Katrina.
  Natafuta Mwanaume mkamilifu wa akili na rijali kwa ajili ya kuwa mume wangu endapo tutawezana kitabia.

  Wasifu wake.
  Awe Mweusi kidogo,
  Awe simple ktk mavazi,
  Ajue hitaji la mwanamke ni nini,
  Awe na elimu angalau ya Form 4,
  Awe ameajiriwa au amejiajiri,
  Sichagui dini wala kabila,
  Awe na mapenzi ya dhati,
  Asiwe mnywaji sana,
  Asiwe mwembamba sana,
  Mwisho asiwe mkorofi.

  Wasifu wangu:
  Mdada Mnene japo si sana,
  Nina Elimu ya Form 4,
  Nimeajiriwa Serikalini,am a teacher,Primary school in Dsm,
  Ni Mkatoliki,
  Kabila Msambaa,
  Ninavutia japo si 100%,
  Rangi yangu ni Chokleti yenye maji ya kunde,
  Ninakunywa kidogo sana,
  Napenda sana kucheki Movie hasa kwenda Threatre.

  Kama unahs una vigezo unaweza kuni Pm,au tumia njia yoyote ile.
  Asanteni.
   
 2. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 821
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Umri wako na wa mtarajiwa? Au kwako si tatizo? Vipi akiwa ameoa are you ready kuwa mke wa pili?
   
 3. AmKATRINA

  AmKATRINA JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 375
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Samahani nilisahau umri.
  Me nina 27 years na mume mtarajiwa ningependa awe na umri kuanzia 29 years hadi 35.
   
 4. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Mie nina sifa zote hizo lakini bahati mbaya nina mke.......................LOL
  Ngoja niweke hili tangazo lako kwenye ubao wetu wa matangazo hapa kazini.......unajua kati ya wafanyakazi 400 waliopo hapa kazini, wapo wanaume 180, na kati ya hao 180, kuna wanaume 75 hajaoa na pia wapo 17 wameachana na wake zao na 5 wamefiwa na wake zao.... naamini hutakosa mmoja wa kukuoa ...................................
   
 5. AmKATRINA

  AmKATRINA JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 375
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  me nina 27.
  Ye awe na 29-35.
  Mh! Mitala naiogopa japo ninao uwezo wa kuwa mke wa pili,ingawa tatizo ni uoga.
   
 6. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,512
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  jipe moyo mume bora hutoka kwa "bwana"
   
 7. AmKATRINA

  AmKATRINA JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 375
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35

  Mtambuzi unaniacha hoi bhana.
  Asa ukibandika hli bandiko kwa ofisi c ntasumbuliwa sana?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,512
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  mi nina 32 na elimu ya masters na nina kazi pia ila nipo A town, sio mwembamba saaaaanaaaaa na pia nakunywa beer 2 mwisho
   
 9. AmKATRINA

  AmKATRINA JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 375
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ameen,
  japo Mungu nae amesema 'Jisaidie nami ntakusaidia'
  ila nina imani mwenye nia na mimi atapatikana tu.
   
 10. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 821
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Naomba ni PM namba yako yako ya simu tuwasiliane, am interested.
   
 11. AmKATRINA

  AmKATRINA JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 375
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mbona kama like a joke?
   
 12. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,512
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135

  sio joke katrina we ni pm tuongee
   
 13. AmKATRINA

  AmKATRINA JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 375
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ila sihitaji utani bhana.
  Maana nyie wanauwe wa humu Jf mmekubuhu kwa utani
   
 14. w

  wa home JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 232
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kama uliokutana nao face2face awaja kuvutia nawe ujawavutia hongera njoo uku kwenye upendo wa plastic .
   
 15. AmKATRINA

  AmKATRINA JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 375
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Noo!
  Ni hv kila binadamu ana utashi na mahala pake pa kutafuta liwazo.
  Ina mana wale wanaoenda vijijini kutafuta wachumba ina maana mjini wanawake wameisha?
  Cha umuhimu ni kuangalia yupi ana msimamo na yupi hana,au ni namna na jinsi wewe utakavyojiweka mbele ya hao wanaume.
  Kama utataka wawe kistarehe na wewe watataka na kama utataka wawe ki serious na wewe watakuhandle vile unataka.

  So Power 2 u.
   
 16. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 821
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Sina utani, ni PM namba yako tuwasiliane.
   
 17. Mshawa

  Mshawa JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 711
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Dah! ni kweli usemayo KIFULAMBUTE jina lako limenifanya nicheke...
   
 18. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Nna vigezo. Chek ua PM

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 19. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #19
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hii 'sticky' imeniacha hoi sana!
  Nakutakia utafutaji mwema.
   
 20. AmKATRINA

  AmKATRINA JF-Expert Member

  #20
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 375
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Imekuacha hoi kvp?
   
Loading...