Wild Thoughts
JF-Expert Member
- Mar 17, 2019
- 562
- 984
Zinakuja nyingi kuna 2 na 3 sasa nashindwa kujua ni ipi kati ya izoScarry movie
Zinakuja nyingi kuna 2 na 3 sasa nashindwa kujua ni ipi kati ya izoScarry movie
Raha yake uzipate zote ndio utafurahiaZinakuja nyingi kuna 2 na 3 sasa nashindwa kujua ni ipi kati ya izo
Jana nimepita njia ya mkato makaburini warembo wawili wakawa wananikimbilia wanatetemeka Eti tunaogopa kupita peke yetu na mm Nikawajibu ha
!dah ebana sulut
Sina MB's za kuchezeaRaha yake uzipate zote ndio utafurahia
duh!Kuna Jirani ametoka kunitusi
"Paka.." just now...So nmeingia kwake
nikakunywa maziwa yote na nikakula
nyama alikua amenunua...Sahii nimetulia tu
kwa sitting room yake nangojea arudi aniulize swali nimjibu "Nyaaaauuuw"
😅😅😂😂😂😂Nipo kwenye daladala afu pembeni yngu limekaa jamaa...... bila ta aibu linasoma chats zangu zote
Nkaamua kuweka front camera ndo tupo tunaangaliana
Duuh!.....Juzi nilimnunulia wife vile vichupi vyenye Kamba(Bikini)
Basi unaambiwa kuna siku nimetoka zangu bar kupata Yale mambo ya kikubwa(beer), Ile nimefika home ilikua almost 5:30pm
Nikamkuta wife amelala kifudifudi huku amevaa kale kachupi!!
Basi acha nianze kucheka mpaka wife akaamka
Wife: Vipi baba anduje mbona unacheka?
Mimi: Acha tu mke wangu yaani tangu nizaliwe sijawahi ona matak** yamevaa ndala....
😂 😂 😂 😂Nimeipata Video ya UWOYA Tayari Njoo Inbox Kuipata.
Vigezo
1.Kitambulisho cha NIDA
2.Kadi ya Mpiga Kura
3. Cheti cha Kuzaliwa
4. Kadi ya CCM.