Kama una stress, Pitia hapa! Usiache kutupia na wewe maneno yako!

Ulweso

Ulweso

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2016
Messages
11,531
Points
2,000
Ulweso

Ulweso

JF-Expert Member
Joined May 24, 2016
11,531 2,000
HAHAHAHAHAAAAAA DUH

Ndege ilipata hitilafu angani Ndipo rubani akatoa taarifa kwamba ndege imepata hitilafu na itadondoka baada ya dakika 10. Ndani ya ndege kulikuwa na watu watano Lakini maparashuti yalikuwa manne tu.

Watu hao ni mchungaji, waziri, mwanajeshi, Msukuma na mwanafunzi wa chekechea, Mchungaji akasema yeye anategemewa na kanisa hivyo hapaswi kufa. Akachukua parachute akaruka. Waziri akasema wananchi wanamtegemea alete maendeleo, Akachukua parachute akaruka. Msukuma akasema familia inamtegamea akachukua parachute akaruka faster.

Wakabaki mwanajeshi na mwanafunzi wa chekechea. Yule mjeshi akamtazama mwanafunzi akamuonea huruma kisha akasema. Mimi najitolea kufa kwa ajili yako, we chukua hilo parachute lililobaki ujiokoe halafu mi ntakufa na hii ndege.

Yule mwanafunzi akajibu "usijali yamebaki maparashuti mawili" yule mjeshi akashangaa akauliza mawili kivipi.? Mwanafunzi akasema YULE MSUKUMA KACHUKUA BEGI LANGU LA SHULE ALIDHANI NI PARASHUTI.
unautani na wasukuma wewe
 
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Messages
16,622
Points
2,000
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2013
16,622 2,000
Hii movie nikiiangalia ikifika sehemu hii huwa siwezi kula maana nitapaliwa
 
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Messages
16,622
Points
2,000
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2013
16,622 2,000
 
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Messages
16,622
Points
2,000
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2013
16,622 2,000
 
Kirokonya

Kirokonya

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Messages
1,105
Points
2,000
Kirokonya

Kirokonya

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2017
1,105 2,000
Waungwana kama utamsikia mtu anauza gari aina ya v8 new model nzuri, ina vibali vyote.
Kwa bei kati ya milion 600 mpaka 500 rangi yoyote haina shida. Wee mwache tu auze mi sina hela
Mkuu, umeanza kwa kuonesha nguvu zako, ghafla imesinyaa!!
 

Forum statistics

Threads 1,307,087
Members 502,332
Posts 31,601,198
Top