Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,059
- 74,465
Cheki mwishoni jamaa akimwaga mzigo jinsi anavyofyatua risasiKutulisha ukoko wa pilau wenzio tu
Cheki mwishoni jamaa akimwaga mzigo jinsi anavyofyatua risasiKutulisha ukoko wa pilau wenzio tu
He Survived in the whole movieDeep blue seaView attachment 1120672
Definitely View attachment 1086472
Hizi siku tendu zimesha kuwa za muneneNdio,hasa uzi wa kushonea makoti huwa unasumbua sana kuingia
Mkuu, umeanza kwa kuonesha nguvu zako, ghafla imesinyaa!!Waungwana kama utamsikia mtu anauza gari aina ya v8 new model nzuri, ina vibali vyote.
Kwa bei kati ya milion 600 mpaka 500 rangi yoyote haina shida. Wee mwache tu auze mi sina hela
AiseehA man was arrested by the police after he stole his neighbour's clothes on the washing line.He claimed he was doing online shopping...
Sent using Jamii Forums mobile app
Waungwana kama utamsikia mtu anauza gari aina ya v8 new model nzuri, ina vibali vyote.
Kwa bei kati ya milion 600 mpaka 500 rangi yoyote haina shida. Wee mwache tu auze mi sina hela
NI MARUFUKU KWA MSICHANA MWEMBAMBA KUCHEZA NYIMBO YA TETEMA, TUKIKUSHIKA UTATUELEZA UNATETEMESHA NINI WAKAT TAKO HUNA