Kama una stress, Pitia hapa! Usiache kutupia na wewe maneno yako!

Mwl. Ambogo

Mwl. Ambogo

Senior Member
Joined
Nov 14, 2014
Messages
199
Points
225
Mwl. Ambogo

Mwl. Ambogo

Senior Member
Joined Nov 14, 2014
199 225
Tulikua kwenye gari kibao ad wengne mlangon likasmimama kituo kimoja kulikua kuna bibi anataka kupanda

Konda- bibi twende sit kibao ata utalala

Bibi - oooh sawa mjukuu

Konda - simama tu apo wanashuka mbele

Bibi - akacheka sana tu

Konda- mbona unacheka bibi

Bibi - mjukuu hawa wote hawashuki wanakufa apo mbele

Watu- simamisha gar

Saiv bibi kabaki mwenyewe amelala sit ya nyuma..mi napga gia tu ctk mchezo na konda.
Haaaha
 

Forum statistics

Threads 1,303,787
Members 501,146
Posts 31,492,680
Top