Kama una miaka 30 na zaidi na bado unaishi maisha haya, basi wewe ni kubwa jinga

Hivi mo ameshaama kwao au bado anaishi na wazazi wake.
Yesu mpaka miaka 30 alikuwa anakula ugali kwa Maria na Yosefu, wewe kujenga kwenu tena haujaezeka unafungua na uzi. Watu bwana
Mwanangu, Mshikaji wangu Mnazareti mpaka leo miaka zaidi ya 2000 anaishi kwa Mshua wake..sembuse mie 30 tu?
Tena kwa kukazia, mpaka leo yuko kwa baba yake alipofufuka akaenda kuishi kwa baba yake hajaondoka sasa iweje mimi niondoke kwa baba.
 
Yesu mpaka miaka 30 alikuwa anakula ugali kwa Maria na Yosefu, wewe kujenga kwenu tena haujaezeka unafungua na uzi. Watu bwana
YESU hakuwa na mpango mkubwa Duniani zaidi ya kufa kifo Cha aibu kwa ajili ya binadamu wadhambi.

Sio wa kumuiga kabisa katika hili, hakuwaza kujenga Wala kununua punda. Alikuwa anatumia vitu vya watu tu wanaomzunguka.

Kwenye Lengo ukimuiga utafanikiwa maana alikuwa na shabaha Sana. Kwa kuwa alijua akifanya kazi ndani ya miaka mitatu itatosha kuieneza injili Duniani na alitabiri kila Mtu kuijua injili yake kabla ya mwisho wa Dunia.
 
Tena kwa kukazia, mpaka leo yuko kwa baba yake alipofufuka akaenda kuishi kwa baba yake hajaondoka sasa iweje mimi niondoke kwa baba. Watu wengine mnasoma maandiko lakini hamuyazingatii.
Sio hawazingatii. Bali pia hawayaelewi maandiko ya Mwenyezi Mungu
 
Back
Top Bottom