Habari wakuu wale wazee wa maofisini ambao kila gazeti lazima mnunue, usilimbikize gazeti ulizosoma ofisini, ninanunua Gazeti used kwa kilo moja shilingi elfu moja 1000/TZ SH.
Hata kama una kilo 1000 niambie nitanunua zote, hata ukiwa na tan 10 za gazeti ninanunua kwa kilo shilingi elfu moja, mwenye nazo aje PM chap.
hahahaa mkuu deal za watu ukizifuatilia utachoka yani hahahaha, kuna watu waanunua hadi vyumbu vya mbuzi wanapopeleka ni siri yao wewe leta gazeti tu mkuu kama unazo nikupe hela chap
hahahaa mkuu deal za watu ukizifuatilia utachoka yani hahahaha, kuna watu waanunua hadi vyumbu vya mbuzi wanapopeleka ni siri yao wewe leta gazeti tu mkuu kama unazo nikupe hela chap