Kama una chuki vaa miwani usione?

lovebitelol

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
964
972
Hii ni kwa wote wa Kaskazini mwa Tanzania. Tunawaimbia wote wanaotangaza hadharani kuwachukia watu wa kaskazini especially wachaga.

Kadri siku zinavoenda nyuzi ni nyingi sana hapa jukwaani zikionyesha chuki za waziwazi dhidi ya watu wa kaskazini, wote wenye chuki zao na wachaga nawaambia.

Kama wanachuki wavae miwani wasione geree, kama umezaliwa kwenye kabila masikini sio kosa lako pambana uinue sifa ya kabila lako sio kufanya majungu.

Hata huyu mkuu wa kaya namuambia hawezi kuwa nyerere chuki zake ni buree kama ana chuki avae miwani asionee geree watu wa kaskazini hatuna kwere tunapambana tuu watabaki maneno mengi poyoyo kamata tupa kulee.
 
Back
Top Bottom