Nahisi nina akili nyingi sana za kutengeneza ideas

Acceptable

Senior Member
Oct 7, 2020
153
302
Natumaini hamjambo wana JF. Nielekee kwenye lengo kuu la kuanzisha uzi huu.

Nimezaliwa mwaka 1989, ukuaji wangu ulikuwa wa kawaida sana kama mtoto mwingine wa Kiafrika ambae wazazi wake waliweza kupata mahitaji muhimu kwa wakati na muda mwingine kwa kuchelewa. Kila siku zilivyozidi kwenda nilikuwa na nikajihisi kama ninautofauti fulani hivi na watoto wenzangu ambao nilikuwa nikishirikiana nao katika masomo na kucheza.

Kitu cha kwanza nilichogundua kilikuwa tofauti ni kuweza kuhisi hatari na kuiepuka kabla haijatokea, kumhisi mtu mwenye nia ovu kabla hajatekeleza hilo kwangu au kwa mtu nilienae (rafiki / jamaa). Hali hii ilinifanya nipende sana kufanya kazi ya usalama wa taifa (secret agent) lakini nilikosa connection . Pili uwezo wa kumsamehe mtu na kusahau (kitu ambacho nimeona ni kigumu sana kwa binadamu wengi). Tatu ni kutokujisomea seriously lakini nikiingia kwenye mitihani nafanya vizuri sana hadi Walimu, wazazi na wanafunzi wenzangu wananishangaa nimewezaje. Kutokana na maendeleo mazuri darasani nilibahatika kusoma kuanzia ngazi ya shule ya msingi hadi chuo kikuu (undergraduate) bila kurudia darasa wala kupata SUP na carryover.

Tatu, ni uwezo wangu wa kumsikiliza mtu na kumuelewa haraka sana na kuna muda huwa nawahi kufikia hitimisho la kile kitu mtu anachokiongea kabla hajamaliza kukiwasilisha na kuna muda ninaweza kumkatisha kisha nikamalizia mimi na nikawa sahihi. Hapa niligundua naweza kuwa public speaker mzuri sana, kwasababu ninauwezo wa kumsoma mtu huku nikiongea na yeye akiongea.

Nne, ni uwezo wa kudadisi vitu katika upana zaidi. Ninaweza kuangalia tatizo na kulitafutia ufumbuzi mzuri wenye tija. Mfano; nilishawahi kuwaza kwamba ili kumaliza tatizo la uhaba wa nyumba za kuishi watumishi wa umma kama madaktari na Walimu, serikali itumie wafungwa kama nguvu kazi ya kufanikisha ujenzi huo. Wazo hili nilikuwa nalo hata kabla Rais magufuli hajaingia kwenye nafasi ya urais wa Tanzania.

Niliwahi kufikiria kuanzishwa somo maalumu la ujuzi wa vitendo na lazima kwa kila mwanafunzi ambalo litamsaidia kujiajiri akimaliza kidato cha nne, sita au chuo kabla hata ya hili tatizo la ajira linaloikumba nchi yetu.

Niliwahi kuwa na Idea za kusaidia vijana hasa wanaoishi vijijini kujikusanya na kufyatua tofali, wachome na kujenga nyumba zao kwa pamoja kama kikundi cha vijana katika vijiji husika ili kila kijana aweze kumiliki nyumba yake. Niliona vijijini ni rahisi kupata viwanja ukizingatia wana ardhi za kurithi kutoka kwa mababu zao, pia rahisi kupata mafundi wa ujenzi ambao ni miongoni mwa vijana hao hao. Then kufanya finishing wanasaidiana kupitia miradi ya kilimo (Ambayo pia nilikuwa na idea jinsi ya Kufanya) au kila mtu atamalizia kivyake.

Tano, nimekuwa na hari ya kushare ideas mbalimbali na jamii hasa vijana kupitia Mitandao ya kijamii, ninatamani sana kupata nafasi ya kufanya kazi na media kubwa ili niwafikie vijana wengi zaidi lakini ndoto zangu zilizimwa mwaka 2017 baada ya kuanza sheria ya kujisajiri na kulipia lesseni za kurusha maudhui YouTube na blogs. Kupitia huku niliamini dunia ingeona kipaji, juhudi na dhamira yangu juu ya kusaidia vijana.

Sita, nina uwezo wa kutengeneza business ideas mbalimbali kulingana na eneo husika, yaani nikifika sehemu nikayajua mazingira ni rahisi sana kukuambia fanya project hii itafanikiwa (Kwenye hili nimesaidia watu wengi sana kuanzisha biashara).

Saba, Nina uwezo mkubwa sana wa kutoa huduma za kisaikolojia na mtu akapona kabisa juu ya changamoto aliyokuwa anaipitia (Nimesaidia vijana, wazazi wengi juu ya matatizo ya watoto wao ambao walihisi hayawezekani).

Nilishawahi kufikiria kutoa huduma ya kumpelekea mtu mahitaji ambayo anayataka kutoka katika masoko yale ya kawaida kabisa na kupata bidhaa kama nyanya, mboga za majani, vitunguu, sukari, mchele, unga, nk akiwa nyumbani kwake. Kwa Tanzania hii huduma sidhani kama ipo na kama ipo haifanyiki kwa kiwango ambacho kinatakiwa.

Ninauwezo wa , kuandika nukuuu zangu mwenyewe, kuandika short articles, kuandaa story za kufikirika na za uhalisia (Kusimulia matukio halisi katika maandishi). Changamoto hapa ni platforms za kunipatia faida kwasababu ya mazingira ya nchi yetu watu wengi hawapendi kusoma na hata wakisoma wanataka story za udaku na skendi tu za watu maarufu.

Pia nimeweza kujifunza skills zifuatazo kupitia Mitandao kama youtube; Kurepair computer (software based), Video editing (Intermediate), Audio recording and editing, etc.

Kuna mengi sana niliyonayo lakini naona uzi umekuwa mrefu utaleta uvivu wa kusoma. Naomba niishie hapa kwasababu nimejaribu ku summarize nilichokusudia.

Je naweza pata platform ambayo naweza fanya nayo kazi kulingana na uwezo wangu nilionao? Naomba mawazo yako au connection .
 
One of the biggest reasons why ego is your enemy is that it keeps you out of touch with reality. Your ego is what prevents you from hearing critical but necessary feedback from others. Ego makes you over-estimate your own abilities and worth, and under-estimate the effort and skill required to achieve your goals
 
Mtoa mada kwanza hongera kwa hatua ya kwanza na ya muhimu ya KUJITAMBUA/KUJIJUA.

Njia rahisi mkuu ni kuanzisha huduma, biasharana au kitu chochote ambacho una uelewa nacho vizuri , baada ya hapo utakutana na watu SAHIHI ambao watakupa nafasi ya kufanya zaidi.

Ubaya watu kama nyie/sisi ambao tupo talented huwa ni ngumu KUELEWEKA kwa watu wa KAWAIDA ambao hawana uwezo wa kuona kile ulichonacho hivyo hata ukikaa na mtu kumuelezea uwezo wako halisi huwa anauchukulia kama stori tu ya kawaida.

Nilianza kwa kufanya kile ninachokijua na kuamini nakiweza kweli na matokeo niliyapata japo target kubwa haikuwa kupata pesa, ila nilikuwa natafuta exposure. Lengo langu lilikuwa na bado ni kutengeneza mazingira ya kuvuta watu fulani ambao nawahitaji kwanza waniamini ili iwe rahisi kufanya yale niliyonayo.

Mpaka sasa yes nimefanikiwa kwa kiasi na tayari nina watu ambao nilikutana nao kupitia shughuli hiyo ambayo nilikuwa nikiifanya, tukajuana na kuaminiana kisha kutengeneza ukaribu na uzuri watu hao asilimia kubwa ya marafiki zao ni wale ninaowahitaji.

Kwa kutamka kama ulivyoandika hivi ni vizuri lakini tafuta idea yoyote ambayo itakukutanisha na aina ya watu unaowataka fanyia kazi hiyo idea na amini watu hao utawapata na utaweza kupata nafasi hiyo.

Hao watu uliokwisha wasaidia kwa ushauri au kwa namna yoyote ile, endelea kufanya hivyo maana hao ni kama hazina na kwa njia hiyo utapata watu wa kukutambulisha kwasababu wanakuamini na uwezo wako wanaujua.
 
Natumaini hamjambo wana JF. Nielekee kwenye lengo kuu la kuanzisha uzi huu.

Nimezaliwa mwaka 1989, ukuaji wangu ulikuwa wa kawaida sana kama mtoto mwingine wa Kiafrika ambae wazazi wake waliweza kupata mahitaji muhimu kwa wakati na muda mwingine kwa kuchelewa. Kila siku zilivyozidi kwenda nilikuwa na nikajihisi kama ninautofauti fulani hivi na watoto wenzangu ambao nilikuwa nikishirikiana nao katika masomo na kucheza.

Kitu cha kwanza nilichogundua kilikuwa tofauti ni kuweza kuhisi hatari na kuiepuka kabla haijatokea, kumhisi mtu mwenye nia ovu kabla hajatekeleza hilo kwangu au kwa mtu nilienae (rafiki / jamaa). Hali hii ilinifanya nipende sana kufanya kazi ya usalama wa taifa (secret agent) lakini nilikosa connection . Pili uwezo wa kumsamehe mtu na kusahau (kitu ambacho nimeona ni kigumu sana kwa binadamu wengi). Tatu ni kutokujisomea seriously lakini nikiingia kwenye mitihani nafanya vizuri sana hadi Walimu, wazazi na wanafunzi wenzangu wananishangaa nimewezaje. Kutokana na maendeleo mazuri darasani nilibahatika kusoma kuanzia ngazi ya shule ya msingi hadi chuo kikuu (undergraduate) bila kurudia darasa wala kupata SUP na carryover.

Tatu, ni uwezo wangu wa kumsikiliza mtu na kumuelewa haraka sana na kuna muda huwa nawahi kufikia hitimisho la kile kitu mtu anachokiongea kabla hajamaliza .

Niliwahi kufikiria kuanzishwa somo maalumu la sana kupata nafasi ya kufanya kazi na media kubwa ili niwafikie vijana wengi zaidi lakini ndoto zangu zilizimwa mwaka 2017 baada ya kuanza sheria ya kujisajiri na kulipia lesseni za kurusha maudhui YouTube na blogs. Kupitia
Amin amin nakwambia kama ni idea tu wengi wanazo shida ni kugeuza hizo idea ziweze kufanya kazi hapo ndo shughuli.
Ukienda kwa fundi pale gereji atakueleza mfumo mzima wa gari shida kuunda gari sasa😂
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom