Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 7,090
- 13,527
Nasoma comments taratiiibu.
Ndiyo ndiyo muhudumu usisahau na dawa ya corona tunawagawia bure.Ngoja niwaletee maji na karanga.
Ndugu mjumbe anza na la kwanza.Matukio Niko nayo Kama manne hivi kuhusu Hawa viumbe nashindwa nianza na lipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna shida katibu.Ndiyo ndiyo muhudumu usisahau na dawa ya corona tunawagawia bure.
View attachment 1470418
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndugu mjumbe anza na la kwanza.
Unazunguka sana mkuu sema ilikuwaje?Kumpenda sana demj mmoja tuu inachangamoto sanaaaa,siku akizingua huwa kuna dude linakuja kooni linakaba unapata hasiraaa[emoji3][emoji3]
Daah inauma Sana mkuuHahahaha [emoji23], karibu katika maumivu group
@PintoG mtoso umenikuta vibaya Sana nikiwa Sina kamchepuko kokote njeHahahahaahaah......
Sema huwa inasaidia ukiwa na mpango wa kando,unaenda kujipoza tuuu
Hahahaaha poleee sanaa,@PintoG mtoso umenikuta vibaya Sana nikiwa Sina kamchepuko kokote nje