Kama umeoa jua kabisa mke wako anatoka kimapenzi na Ex- wake, kijana wa mtaa mmoja au mfanyakazi mwenzake)

Nyie ndo mnafanyaga wanaume wakate tamaa waone wanawake wote ni wazinifu kisa nyie mpo benet na manungayembe.

Wanawake wasiojithamini na wasiojua purpose zao maishani ni nini lazima watembeze mbususu mbegeres mtaa mzima, kazini na kwa ma ex wao.

Surround yourselves with good women na bila shaka mtajifundisha mengi sana kuhusu Mwanamke, just how smart and powerful we are.
 
We jamaa bhana, kwaiyo unaamini kabisa huyo uliyenae hana ex, mfanyakazi mwenzake au vijana wanaomzunguka?
Tena hapo sijaongezea na bodaboda wake, muuza chipsi wake, sponsa wake n.k

Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
 
Jina lako limenishangaza, huwezi kujiita jina hilo halafu usiwe msomi, never! Lazima utakuwa msomi tu, tena hata daktari.
Hahahah, nilijiita hivyo kwa sababu Na-wish kuja kuwa prof siku moja, ila bado sijafikia level hiyo! Na kielimu changu kiduchu tu.

NB; Usitishike na ID za humu. ila pia humu kuna wasomi haswa , thus why we call it, the home of great thinkers
 
Neno
 
Best hebu naomba nitafsirie mbegeres ni msamiati mpya kwangu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…