Kama umeoa au haujaoa take this

Hizi formula zinakuhusu wewe pekee.
Kila mtu ana formula yake kutokana na kiwango na ukali walimbwata analolishwa na mkewe.

Mimi baada ya limbwata kueksipaya nimetupa jongoo na mti wake. Sitaki mke
 
umepigwa na kitu kizito, pole sana mkuu, somea upadri tu
 
Elevenn soma hii… Maelezo ya mleta mada yana sum-up namna anavyomchukulia mwanamke. Kwa mtu anayemchukulia mwanamke hivi hafai kuwa na mwanamke… kwa usalama.
Je kama anawasanua tu, wakae chonjo.. Si kula kitu tu nachukua literally..

Wanawake ukiwa chekea unaishia kuwa sponsor
 
Kwa nini umeandika shit?
Nijihisi relief ya kufanyaje? Sijakandamizwa na kitu sihitaji relief.

Unaingiza mambo ya machoko ushoga ili ujihisi relief ama?
Ukiona unaona jinsia pinzani ni complicated sana unaweza kujaribu jinsia yako… uhusiano unaweza kuwa mzuri…mara zingine mtu anaweza kuwa anateseka sana sababu inaweza kuwa ni DL….
Kisago kipo pale pale tu.. We don't give a damn.
Feelings are mutual buddy, we also give 0 f*
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…