Kama umeoa au haujaoa take this

Kwenye simu sio mbaya sana kama ya kumfanyia mtu Live Yani anamdhalilisha kabisa na hata kwa vidada vya kazi,majirani,ndugu zake na mengine.
 
Usioe mfanyakazi siyo kwa sababu ya bali hakuna tija yoyote,hutoona hiyo hela popote!

Bado utamnunulia mahitaji yake yote na ya familia,utaajiri Dada wa kazi,hatakuwa na muda wa kuangalia hao watoto,atachoka kila siku mzigo hupati etc😁

Kama ni limbukeni,hicho kimshahara ataota na mapembe wote mtakuwa vidume ndani ya nyumba.
 
Hatuhusiki na matatizo yako, if you knew what i mean.


Sio lazima ukubali, it’s jus FYI kuwa tupo tunaexist na huna cha kufanya zaidi ya kutukana na kuonesha kichwa chako kilivyo kitupu.
Tena ana kichwa kitupu hasa!!!!
 
Kuna Profesa mmoja huko Marekani alifanya utafiti miaka miwili mfululizo kuhusu wanawake.

Baada ya miaka miwili ya utafiti wake, akaandika kitabu kinachoitwa Understanding Women.
Kitabu kilikuwa kikubwa sana, kilikuwa na zaidi ya pages 1,000.

Siku ya uzinduzi wa kitabu, Profesa akaaalika watu wengi sana.
Mmoja wa wageni akaombwa apitie pitie baadhi ya chapters za kitabu na kuwaeleza wengine kile ambacho Profesa alikuwa amegundua kuhusu wanawake.

Mgeni yule akafungua kitabu...

Page ya kwanza ilikuwa tupu.

Akaendelea kwenye page nyingine, nayo tupu.

Akaenda ukurasa nwingine, tupu.

Akaendelea kufungua kurasa za kitabu haraka haraka na kwa hasira lakini page zote 1,000 zilikuwa tupu!

Watu wakabaki wanashangaa.

Profesa akasimama na kusema β€œBaada ya miaka yote ya kufanya utafiti, nimegundua kuwa huwezi kumwelewa mwanamke.”
 
Imebidi nicheke tu!!!!😁😁😁😁

Anyway, ni kwa nini wanaume mnataka kumuelewa mwanamke?!!!
 
Imebidi nicheke tu!!!!😁😁😁😁

Anyway, ni kwa nini wanaume mnataka kumuelewa mwanamke?!!!
Wakati huo, wanawake wenyewe hawana shida kabisa ya kutaka kutujua sisi 😁|
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…