binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,832
- 46,998
Sheik yahaya unajuaje haya?Sija fanya projection bali ni translate your unsaid emotional wounding..
Ninyi mlipona lini hadi mniponye mimi? Mfano wewe hapo to be specific ๐Kama ukikosa father figure, tupo sisi wa kukuponya..
Dunia ina feminism nusu, patriarchy nusu kwa sasa, ni mambo yanayo co-exist thereโs nothing much you can do about that.Achana na feminism rudi njia kuu
I don't need to know anything about that dumbass shit..Sheik yahaya unajuaje haya?
Ninyi mlipona lini hadi mniponye mimi? Mfano wewe hapo to be specific ๐
Dunia ina feminism nusu, patriarchy nusu kwa sasa, ni mambo yanayo co-exist thereโs nothing much you can do about that.
Very interesting situation.Baadhi ya wanaume siku hizi mnalia lia sana humu jamvini kila siku vikao๐๐
Ila mkiambiwa mwanamke ana power over yenu mnakua wakali ๐คฃ๐คฃ
Imebaki mfungue group la kufundana ๐
Hakuna mwanaume anaye lia bali tunapiga Ufuska unaofanywa na wanawake wapuuziBaadhi ya wanaume siku hizi mnalia lia sana humu jamvini kila siku vikao๐๐
Ila mkiambiwa mwanamke ana power over yenu mnakua wakali ๐คฃ๐คฃ
Imebaki mfungue group la kufundana ๐
Hatuhusiki na matatizo yako, if you knew what i mean.I don't need to know anything about that dumbass shit..
Ni nyie mlio sababisha vifo vya wanaume kwa sababu ya mapenzi fools
Sio lazima ukubali, itโs jus FYI kuwa tupo tunaexist na huna cha kufanya zaidi ya kutukana na kuonesha kichwa chako kilivyo kitupu.Wacha kuleta unusu kwenye ujinga wa feminism, hakuna wa kukubali
Heh we nae ๐๐Hakuna mwanaume anaye lia bali tunapiga Ufuska unaofanywa na wanawake wapuuzi
Wanawake wasio na hisia za kiu wanawake
Wanawake walio kosa upendo, so wanakuja na feminism as a coping mechanism
Unapoteza energy yako bi mzuriHatuhusiki na matatizo yako, if you knew what i mean.
Sio lazima ukubali, itโs jus FYI kuwa tupo tunaexist na huna cha kufanya zaidi ya kutukana na kuonesha kichwa chako kilivyo kitupu.
Kazi mnayo mnalalama mnoo ๐Very interesting situation.
Leo ana bipolar niachie mimi huyu, nataka atukane mpaka akatafute matusi mapya kwenye insaiklopidia.Heh we nae ๐๐
Ni wewe ambae hutumii akili za kuzaliwa unategemea mawazo ya psychology na feminismHatuhusiki na matatizo yako, if you knew what i mean.
Sio lazima ukubali, itโs jus FYI kuwa tupo tunaexist na huna cha kufanya zaidi ya kutukana na kuonesha kichwa chako kilivyo kitupu.
Sawa daktareee choma sindano ๐๐Leo ana bipolar niachie mimi huyu, nataka atukane mpaka akatafute matusi mapya kwenye insaiklopidia.
Mimi nina namna yangu ya kukabiliana na hizo changamoto.Kazi mnayo mnalalama mnoo ๐
Uhalisia wa mtu aliye shindwa huwa anaanza kutafuta kisingizio cha kuegemeaLeo ana bipolar niachie mimi huyu, nataka atukane mpaka akatafute matusi mapya kwenye insaiklopidia.
Tulikubaliana ni heri kupigania katiba mpya kuliko kudeal na matatizo kama ya Gunner ๐Unapoteza energy yako bi mzuri
Uhalisia wa mtu aliye shindwa huwa anaanza kutafuta kisingizio cha kuegemeaLeo ana bipolar niachie mimi huyu, nataka atukane mpaka akatafute matusi mapya kwenye insaiklopidia.
Acha kumfariji huyu bi mzuri uchwara lazima apate anacho kitafutaUnapoteza energy yako bi mzuri
Sio matatizo bali ukweli ngumu Kumeza ambao umejitahidi kuumeza ila kupona hautakiTulikubaliana ni heri kupigania katiba mpya kuliko kudeal na matatizo kama ya Gunner ๐
It happened weโwa right all long .
Kumbe nabishana na doctor binti kiziwi na sijui?Sawa daktareee choma sindano ๐๐
Unapoteza muda no signalTulikubaliana ni heri kupigania katiba mpya kuliko kudeal na matatizo kama ya Gunner ๐
It happened weโwa right all long .
Safii broMimi nina namna yangu ya kukabiliana na hizo changamoto.
Kulalama mtandaoni sio moja ya njia zangu.