Heshima kwenu wadau .
Mimi nilisoma hapa kuhusu ufugaji wa kuku wa kienyeji mwezi March.nikanunua maji 10 jogoo 1 .wakafa 3 .
sasa hivi tunavyoongea kuku wapo vyema na nina mayai zaidi ya 20.
~watu wengi wanaomba ushauri hapa na huko waendapo hawaleti mrejesho ili kuleta hamasa kwa wengine au funzo kwa wengine wetu.
Kwa kweli kuna watu wamejaliwa moyo wa kumsaidia mtu kwa hali na mali,ukisoma comments utagundua ni sisi kuwapo mrejesho wa walichotushauri..
_Hivyo Natoa rai kama wewe umefanikiwa au umekwama leta mrejesho hapa.
shukrani zangu za pekee kwa
Mama Joe
TRAitor B
na mdau mmoja yupo moro number yake ninayo ila jina lake limenitoka la jf.
Kitomondo ni wapi mkuu??John Kachembeho mkuu, hapo siyo kitomondo kweli? Hongera sana
Handeni, 25 minutes drive from Dar-Moshi highway!john huo ufuta unalimia wap,umbali wa hilo eneo hadi barabara kubwa
John Kachembeho,
Umenifurahisha uliposema pori zito.
Hongereni sana, hivi hivi kidogo kidogo na nchi inanyanyuka kiuchumi.
Hii nchi ina ardhi kubwa sana yenye rutuba inayofaa kwa kilimo ila walimaji ndo hatupo mkuu. Na gharama za kuipata sio kubwa kivile ila labda gharama ya uendelezaji ndio kiasi inaumiza, cha msingi ni kuwa na malengo tu na kujua unachokifanya.
Mkuu Maundumula inafurahisha na wakati mwingine inaweza kukukata spidi pale mtu anapokwambia anaenda kukuonyesha shamba halafu unapofika eneo la tukio unakutana na bonge la msitu, unaweza usirudi kaka!
mkuu John leo ndio umenifumbua macho,na hilo zao linasitawi sehemu za ukame na ndege hawali kama ilivyo kwa alizeti?