Kama umechaguliwa udom soma hapa itakusaidia.

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Habari wana JF, kwa wale ndugu zangu wa mwaka wa Kwanza mliochaguliwa katika chuo kikuu cha Dodoma hasa kitivo cha sayansi za jamii na Lugha au College of Humanities and Social Science. Kuna mambo ya kuanza kuzingatia mapema ili kuepusha utata pindi mtakapo anza kuripoti chuoni.
1-Kutoka stand ya mabasi Jamatini mpaka Chuoni nauli ni 400/= lakini kama utakua na Bag kubwa utalipia 500/= (Lakini Serikali ya Wanafunzi ya College of Humanities and Social Science inaandaa utaratibu mzuri wa mapokezi kuanzia stand).
2-Hakikisha umelipia malipo yoote yaani Tuition Fee, Direct Cost na Pesa ya Serikali ya Wanafunzi yaani UDOSO ambayo ni Tsh 5000/= Kufanya hivyo itakuepushia usumbufu siku ya kuripoti)
3-Malipo yoote yanalipwa Bank na kujua zaidi anza mazoea ya kutembelea Web Site ya Chuo yaani www.udom.ac.tz na www.udosochss.or.tz ambayo ni web ya serikali ya wanafunzi.)
4-Kwa wale wa Social Science and Humanities ukifika jamatini panda Coaster zilizo andikwa UDOM SOCIAL -BONDENI, wale wa course za Art watashukia kituo cha Social na wale wa Biashara na Lugha watashukia Bondeni-Kumbuka ukipanda gari tofauti na hizo itakula kwako.)
5-Pia kuna uwezekano wa kuripoti na kuanza registration ni Tarehe 12 mwezi wa 10 kwa wale wa College of Humanities and Social Science. Kama ratiba haita badilika, hivyo basi utaratibu unaandaliwa wa kuanza kupokea wanafunzi kuanzia 11 ambapo mtapewa sehemu za kulala kabla ya registration.
6-Kuwa makini na mizigo yako wizi upo kama kawaida woote mtakuwa wageni hivyo jaribu kuwa makini na kila umuonaye.
7-Kuhusu Hostel hapo msiwe na wasiwasi hata mkiripoti watu 5000 woote mtalala kwa raha zenu, chuo hakina matatizo ya Hostel kabisa.
8-Hakikisha unapesa ya kujikimu la si hivyo utajuta. Boom laweza kutoka baada ya week.
Mengine tutaendelea kujulisha hapa hapa, Pia kama unaswali ni vema ukauliza mapema.
Wale Continues wa UDOM karibuni kutoa msaada kwa ndugu zetu hawa 1st Year 2013-2014.
Natanguliza shukrani.
 
Mshikamano wa namna hii ni mzuri sana. Endeleeni kupeana maelekezona ushauri sahihi na mzuri mnajenga kizazi kipya chenye busara na chenye kutakiana mema na mafanikio kwa kila mmoja.
 
Habari wana JF, kwa wale ndugu zangu wa mwaka wa Kwanza mliochaguliwa katika chuo kikuu cha Dodoma hasa kitivo cha sayansi za jamii na Lugha au Collage of Humanities and Social Science. Kuna mambo ya kuanza kuzingatia mapema ili kuepusha utata pindi mtakapo anza kuripoti chuoni.
1-Kutoka stand ya mabasi Jamatini mpaka Chuoni nauli ni 400/= lakini kama utakua na Bag kubwa utalipia 500/= (Lakini Serikali ya Wanafunzi ya Collage of Humanities and Social Science inaandaa utaratibu mzuri wa mapokezi kuanzia stand).
2-Hakikisha umelipia malipo yoote yaani Tuition Fee, Direct Cost na Pesa ya Serikali ya Wanafunzi yaani UDOSO ambayo ni Tsh 5000/= Kufanya hivyo itakuepushia usumbufu siku ya kuripoti)
3-Malipo yoote yanalipwa Bank na kujua zaidi anza mazoea ya kutembelea Web Site ya Chuo yaani www.udom.ac.tz na www.udosochss.or.tz ambayo ni web ya serikali ya wanafunzi.)
4-Kwa wale wa Social Science and Humanities ukifika jamatini panda Coaster zilizo andikwa UDOM SOCIAL -BONDENI, wale wa course za Art watashukia kituo cha Social na wale wa Biashara na Lugha watashukia Bondeni-Kumbuka ukipanda gari tofauti na hizo itakula kwako.)
5-Pia kuna uwezekano wa kuripoti na kuanza registration ni Tarehe 12 mwezi wa 10 kwa wale wa Collage of Humanities and Social Science. Kama ratiba haita badilika, hivyo basi utaratibu unaandaliwa wa kuanza kupokea wanafunzi kuanzia 11 ambapo mtapewa sehemu za kulala kabla ya registration.
6-Kuwa makini na mizigo yako wizi upo kama kawaida woote mtakuwa wageni hivyo jaribu kuwa makini na kila umuonaye.
7-Kuhusu Hostel hapo msiwe na wasiwasi hata mkiripoti watu 5000 woote mtalala kwa raha zenu, chuo hakina matatizo ya Hostel kabisa.
8-Hakikisha unapesa ya kujikimu la si hivyo utajuta. Boom laweza kutoka baada ya week.
Mengine tutaendelea kujulisha hapa hapa, Pia kama unaswali ni vema ukauliza mapema.
Wale Continues wa UDOM karibuni kutoa msaada kwa ndugu zetu hawa 1st Year 2013-2014.
Natanguliza shukrani.

Inapendeza sana, ulikuwa hp A-level? Edit hilo neno collage andika college tafadhali wakija wakosoaji hapa na hiyo Udom mmh
 
Asante sana mkuu..ila me nauliza kuna maelezo yoyote kuhusu college of education coz hapo umeelezea mengi yanayowahusu wa college of humanities and social science..pia boom huwa mnapewa kwa njia gani?
 
Nendeni mkakutane na maadamu mmoja pale anaitwa maadam Azizi ni kero mpka anaboa kazi mnayo...poleni sana
 
Asante sana mkuu..ila me nauliza kuna maelezo yoyote kuhusu college of education coz hapo umeelezea mengi yanayowahusu wa college of humanities and social science..pia boom huwa mnapewa kwa njia gani?

Kuhusu College of Education naweza nisijue mengi kwa sababu sisomi huko lakini wapo wadau kama @P_prezidaa wanajua vizuri, Boom ni kwa njia ya Bank hivyo basi unashauriwa kuwa na account ya Bank na nakushauri uwe ni mteja wa CRDB
 
asante sana mkuu kwa maelezo yako...God bless you
 
Kituo cha Jamatin bado kipo kwenye ukarabati. Waambie waishuka stendi ya zamani nyuma tu kuna kituo cha daladala
 
Back
Top Bottom