Nuthn difficult... kama una msingi mbovu saaaana wa English language utakutana na mzee wetu Katigula!!! Kuhusu ugumu zaidi ambao ni mahsusi nadhani itategemeana na masomo ya kufundisha utakayochagua!!!! Karibu sana katika Jiji la Mungu tunalolijenga!!!! Ukiweza ni PM ntakupokea mheshimiwa!!!!